Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Tatizo mnaoa Malaya mnategemea uaminifu
Mtanyooka tuu pumbavu nyie
Shida ya hawa viumbe ni uongo mwingi, tamaa na kutoridhikaNaona unavuta kambaa kwa upande wako,90%ni kawaida sana kwenu kwa sasa
Subutu kuna wanawake hawayumbishwi na huto tusenti twenu.
Wanaotafuta mchumba sasa..🤣Usigeneralize wanawake wote bana! Ni huyo tu mwenye akili mbovu si wote.
Sio kwa kibuti kile ulichonipiga..😬Mbona wengine tunaaminika vizuri tena sana
GoodI don't like to rate myself but YES, I am one of those faithful women.
Hatari mkuu kuti limekatika natakiwa nianze moja japo pa kuanzia sipaoni...,God forbid [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Siwezi kalia kuti kavu hivi bwana
Ndiyoo 😀😏 hatutaki kuchafuliwa CV zetu.Wanaotafuta mchumba sasa..🤣
Mwanamke haifai kuaminiwa?
Ndo nipo naulazimisha moyo wangu ukuamini lkn naona unaniirodhoshea magonjwa mbalimbali ati kichwa changu kinajiuliza unajua kifafa wewe..? Presha je..? Vipi kuhusu degedege..🤣Ndiyoo 😀😏 hatutaki kuchafuliwa CV zetu.
pole sana mkuu mwanzo unakupa tafsir mbali mbali lakini ndo mwanzo huna budi kuuanzaHatari mkuu kuti limekatika natakiwa nianze moja japo pa kuanzia sipaoni...,
Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
Hatari mkuu kuti limekatika natakiwa nianze moja japo pa kuanzia sipaoni...,
Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
Hatuaminiki si mmemuona Melinda alichomfanya Billgate
Mwanamke haifai kuaminiwa
Kweli hatufai kuaminiwa!
Ukituamini jua umekaribia kufa!
Wee afu umenieditia comment yangu sikuandika hivo mimi fyuu😏Wakuu tufungeni mada wao wenyewe wameshakili..
Kweli mzee ..,pole sana mkuu mwanzo unakupa tafsir mbali mbali lakini ndo mwanzo huna budi kuuanza
ulishafanya kosa tayari mwanzo
mwanamke unatakiwa kumchana kitakatifu tu kuwa unaweza hali zote with/without her atachagua ,wenyewe
Who? Where??There are plenty of good women out there, unfortunately your girlfriend is not one of them.
Ndo ivo mkuu,imagn mtu anaish kukudanganya kumbe huko ana lundo la wanaume,hasa hivi vya chuo ndo balaa kubwaaShida ya hawa viumbe ni uongo mwingi, tamaa na kutoridhika
[emoji23][emoji2][emoji2]Ndo ivo mkuu,imagn mtu anaish kukudanganya kumbe huko ana lundo la wanaume,hasa hivi vya chuo ndo balaa kubwaa