Mkuu Nyerere ni moja ya watu wa kulaumiwa kabisa kama sio yeye pengine tungekuwa na shirikisho la umoja wa Africa kama nkwame nkruma na Gadafi walivyopendekeza badala yake yeye akata block kwanza kwa maana jumuiya za kikanda,
Kama unachochote cha kusema hapo mkuu Pascal naomba mchango wako
mshukuru saaana saaana Julius kambarage kuhusu kutoingia kichwa kichwa kufanya united state of Africa kama chizi nkuruma na mwenzake gamal Nasr walivyotaka. wewe unajua katiba za nchi za kiarabu zina chuki mbaya sana sana na dini ya kikristo kuliko ugonjwa wa surua?
1) nchi za kiarabu huwezi kujenga makanisa
2)huwezi kumshawishi muislamu abadili dini na akama kibadili basi wewe utafungwa miaka ishirini na tano.
3)mkristo huruhusiwi kufungua hoteli yako mwezi wa ramadan.
4)huruhusiwi kuuza biblia, rozari wala vifaa vya kikristo hadharani
5) ni marufuku kwa mkristo kuwa mtawala wao . katiba zao zinasema kiongozi wa nchi hii ni razima awe muislamu na raia wa nchi hii.
sasa jiulize ukiunganisha africa wewe mkristo utashi vipi ukiahamia Libya, Algeria,Mouritania, Moroco, somalia, sudan na kisiwa cha Comoro?
Je unajua mateso walopata wasudani ya kusini mpaka kuamua kuingia msituni kutetea dini yao ya kikristo??
Nyerere aliona mbali sana na akakwepa kuhudhulia mkutano nyeti akamtuma Tom Mboya aende kwa niaba ya maraisi wa Kenya, Tanzania na malawwi.
mapendekezo haya ya united state of africa aliyarudia tena Gadafi lakini hayakuwa na nguvu viongozi wengi weusi WALIMNYONDEA. unajua kunyonda ni lugha ya pwani maana yake kukataa kwa maudhi mpaka aliyekushawishi naye anachukia.