Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana.
Ingawa amelala mauti, jina lake, maono yake, miradi aliyoisimamia akiwa madarakani na Jitihada zake katika kulinda , kusimamia na matumizi ya rasilimali za Taifa kwa maendeleo ya nchi vitabaki kumbulumbu ya kudumu kwa vizazi hadi vizazi.
Katika shughuli ya Mazishi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amejibu ombi la sana chato la kuifanya chato kuwa mkoa.
Kwa mtazamo wangu, huo mchakato na vigezo vya kuifanya chato kuwa mkoa vikikamilika, Napendekeza Jina la huo mkoa kuwa ni Magufuli.
Mheshimiwa Rais Samia ameahidi kumuenzi Hayati Dokta Magufuli kwa kuifanya Chato kuwa mkoa, mkoa huo ukiitwa Magufuli, kumuenzi kutaimarika zaidi. Pia katika mkoa huo, pawepo jumba la makumbusho ya Jemedari Magufuli.