Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

Acha bangi wewe kijana, hujui huu utitiri wa mikoa ni mzigo kwa walipa kodi, unafahamu Marekani wana mikoa (Majimbo) ngapi.
 
Bado haitoshi na Tanzania nzima ibadilishe jina iitwe Magufuli ili taifa nzima liwe linamuenzi kwa mema aliyoyafanya ...

Pia na Marais wajao tuwaenzi kwa kuwaita Magufuli wa pili ,wa tatu na kuendelea kwa sababu hapakuwa na mtu kama yeye toka nchi imeumbwa

Suala la demokrasia ,haki za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari kwa jinsi vilivyominywa tufanye kama tumesahau..upinzani tusiuongelee kabisa
 
Tayari kuna mikoa mingi hatuhitaji kuongeza unnecessary administrative costs zisizo na kichwa wala miguu za Mkuu wa Mkoa mpya na mazagazaga mengine ya mkoa mpya.
Sisi ni matajiri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Vigezo gani hutumika kugawa mikoa na kuongeza wilaya?
Tayari kuna mikoa mingi hatuhitaji kuongeza unnecessary administrative costs zisizo na kichwa wala miguu za Mkuu wa Mkoa mpya na mazagazaga mengine ya mkoa mpya.
 
Vigezo gani rasmi vinatumika kuifanya wilaya mkoa?
Madam President kwa speech ya leo ni wazi atapiga chini hilo wazo la kuifanya chato Mkoa, ile kauli leteni mapendelezo tuyapitie, imetosha kabisa kwamba hakuna tena cha Mkoa wa Chato.
 
Mmmh imetosha sasa khaaa kila kitu jina hilo hilo. Acheni hayati apumzike. Chato ibaki Chato
 
Bila shaka mtoa hoja hii ana mtindio wa akili kabla ya kupendekeza nchi ipunguze utitiri huu wa mikoa,people's need service delivery sio wingi wa mikoa.
 
Kuna Jaji akasema "Ingawa alikua anajiita Jiwe ila ni Jiwe lililokua linatoa machozi"

Uongo mbaya, nikacheka.
 
Madam President kwa speech ya leo ni wazi atapiga chini hilo wazo la kuifanya chato Mkoa, ile kauli leteni mapendelezo tuyapitie, imetosha kabisa kwamba hakuna tena cha Mkoa wa Chato.
Akaendelea akasema "wakishindwa watawaelekeza vigezo ni vipi".....Wewe ni bure kabisa
 
Mie hata sivijui Mkuu lakini ni upuuzi tu wa kuongezea Serikali gharama zisizo na msingi.
Vigezo gani hutumika kugawa mikoa na kuongeza wilaya?
 
Sina Cha kusema...ngoja nikae kimya,ila kaa ukijua WEWE NI KUKU USIYE NA KICHWA...
 
Tayari kuna mikoa mingi hatuhitaji kuongeza unnecessary administrative costs zisizo na kichwa wala miguu za Mkuu wa Mkoa mpya na mazagazaga mengine ya mkoa mpya.
Sisi ni matajiri
 
Back
Top Bottom