Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

Even if it will named "Jiwe" It Will contribute nothing! Let us focus on how we are going to open the new chapter of leadership
 
😂😂😂😂😂😂
Na Makao makuu ya Mkoa tusiite Chato tena tuite Nzilankende District

N.a. Ile Uwanja wa Ndege wa kuchungia Ng'ombe tuuite Hapa kazi tu International Airport
 
the fuk is wrong with you peoples.?
no disrespect to our late president.. Mungu ampunzishe mzee wetu.

ila this is too much kujipendekeza,its not Good.
 
Kwa mwandiko huu, chato inasitahili ishushwe hadhi kutoka wilaya hadi tarafa
 
Madam President kwa speech ya leo ni wazi atapiga chini hilo wazo la kuifanya chato Mkoa, ile kauli leteni mapendelezo tuyapitie, imetosha kabisa kwamba hakuna tena cha Mkoa wa Chato.
Kabisaaa!
 
Hatujafikia hatua ya kuziita majina ya watu Wilaya na hata Mikoa yetu! Hivyo hoja yako haina mashiko. Wakipewa hata hiyo hadhi ya Mkoa tu, washukuru! Maana bado hawajakidhi vigezo.
 
Tusianze kuuita mikoa majina ya wanasiasa maana kila siku tutaishia kubadilisha majina. Tubakize utamaduni uleule wa majina. Kama mtu kafanya mazuri yataonekana. Tusifanye vitu kwa hisia za misiba bila kufikiria vizuri
Upo sahihi
 
Vigezo gani hutumika kugawa mikoa na wilaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…