Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

Tanzania kwa kizazi hiki ni ngumu kuendelea. idadi ya wapuuzi ni kubwa sana
 

Nilidhani Mtanzania pekee tu ambaye Uvutaji wa Bangi unamsumbua hadi kumfanya awe Mwehu ni Afande Sele ila nimegundua wapo wengi kama huyu ( Wewe ) Ndugu.
 
Acha ujinga wewe,hakuna cha mkoa wala nini.Mbakie wilaya tuuu
 
Mataga wanaendelea kutengeneza "Twitter" Zao:
 
Acha usenge basi
 
Akaendelea akasema "wakishindwa watawaelekeza vigezo ni vipi".....Wewe ni bure kabisa
Jiaminishe hivyo wewe ambae sio bure, unaweza kuelekezwa vigezo ni vipi lakini usiwe navyo hivyo vigezo......mara ngapi unasikia kuna nafasi ya kazi lakini kigezo uwe na uzoefu wa miaka kadhaa, lakini kwa vile huna hivyo vigezo kazi unawaachie wengine.
 

hawa wanataka mkoa wakati hiyo wilaya yenyewe hawana vigezo


ubinafsi
 
Nmetafuta tusi nmekosa ....acha nipite kimya kimya!๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿฅบ
 
Hiv huyu kiumbe kafaya nn kikubwa ambcho wengne wte walishindwa????
Tusianze kuuita mikoa majina ya wanasiasa maana kila siku tutaishia kubadilisha majina. Tubakize utamaduni uleule wa majina. Kama mtu kafanya mazuri yataonekana. Tusifanye vitu kwa hisia za misiba bila kufikiria vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ