Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]

Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]

Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.

Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Huyu sio kipa nzuri. Makolo wenyewe walishamtunguaga 7 kipindi yupo Holoya sijui hata vigezo gan wametumia kumsajili. Naomba tarehe 19 awepo golini ili tuongee lugha moja
 
Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]

Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]

Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.

Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
We jamaa ni pumba sana, yaani utadhani diara hajawahi fungwa vile
 
Back
Top Bottom