Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tupo tunafanya vikao vyetu vya siri ili kuanzisha upya lile vuguvugu la kumkataa Mwenyekiti wetu Mangungu.Uzi mzima hakuna shabiki wa simba atetee jahazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tunafanya vikao vyetu vya siri ili kuanzisha upya lile vuguvugu la kumkataa Mwenyekiti wetu Mangungu.Uzi mzima hakuna shabiki wa simba atetee jahazi
Hakuna kipa pale ni garasa kabisa
Matampi Anyang'anywe ile tuzo
Yupo KalpanaUzi mzima hakuna shabiki wa simba atetee jahazi
Walimsifia sana mkuuLigi yote kipa mwenye klini shiti ni Diarra tu. Maji yameanza kujitenga na mafuta.
[emoji23][emoji23]Tupo tunafanya vikao vyetu vya siri ili kuanzisha upya lile vuguvugu la kumkataa Mwenyekiti wetu Mangungu.
Uyo anasema tutaonana mwishoni.
Naambiwa Kalpana Hadi saizi hajaamka [emoji23][emoji23]Uyo anasema tutaonana mwishoni.
Tunaangalia na jinsi tulivyofungwa[emoji23]Huyo kipa kacheza mechi ngapi leo hii mseme hakuna kipa yaani hamtaki kufungwa kabisaa..
Nakwambia hiviiii..Naambiwa Kalpana Hadi saizi hajaamka [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuuNakwambia hiviiii..
Tumeziba msikiooo...
Huyu sio kipa nzuri. Makolo wenyewe walishamtunguaga 7 kipindi yupo Holoya sijui hata vigezo gan wametumia kumsajili. Naomba tarehe 19 awepo golini ili tuongee lugha mojaToka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]
Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.
Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Sijafiwa wala siumwi bwana..NAIONA SIMBA....
We jamaa ni pumba sana, yaani utadhani diara hajawahi fungwa vileToka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]
Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.
Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Ngoja akutane na mashuti ya ki AzizKoloz hawakujua Kama Camera ni pazia? Walimpiga goli 7 walifurahiaa
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kumbe ndo huyuHuyu sio kipa nzuri. Makolo wenyewe walishamtunguaga 7 kipindi yupo Holoya sijui hata vigezo gan wametumia kumsajili. Naomba tarehe 19 awepo golini ili tuongee lugha moja
I know your pain...Sijafiwa wala siumwi bwana..NAIONA SIMBA....