Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Kumuiga Diara kwamponza Camara wa Simba

Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]

Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]

Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.

Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Diara kaweka standard yake!kila kipa mpya akija nchini wanajaribu kumlinganisha na diara!diara amekua kama benchmark ya makipa nchini!
 
Hakuna kipa hata mmoja anaelinganishwa na diara acheni kuzusha na kukuza mambo, mashabiki wa yanga wanatunga uongo huko
 
Ligi yote kipa mwenye klini shiti ni Diarra tu. Maji yameanza kujitenga na mafuta.
Don’t rush into a conclusion. Just a couple of mistakes.

He’s young, he’s still learning.

He’s an excellent goalie no doubt
 
Tatizo hauelewi kitu mjinga wewe, pale Spider Man aliishiwa Nyuzi,
Kama hujui mambo ya Uspider unaweza mraumu.
Au nasema uwongo janani?
 
Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]

Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]

Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.

Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Hamna kila mle, upepo tu ulimwendea mwanzoni.
 
Back
Top Bottom