Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Diara hajawahi fungwa goli kama izooWe jamaa ni pumba sana, yaani utadhani diara hajawahi fungwa vile
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diara hajawahi fungwa goli kama izooWe jamaa ni pumba sana, yaani utadhani diara hajawahi fungwa vile
Nenda kacheki game ya Yanga na Dodoma Jiji mwaka jana. Diarra alifungwa goli la mbali zaidi ya hilo.
Ile ya kibu embu ielezee
Diara kaweka standard yake!kila kipa mpya akija nchini wanajaribu kumlinganisha na diara!diara amekua kama benchmark ya makipa nchini!Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]
Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.
Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Hakuna kipa hata mmoja anaelinganishwa na diara acheni kuzusha na kukuza mambo, mashabiki wa yanga wanatunga uongo hukoDiara kaweka standard yake!kila kipa mpya akija nchini wanajaribu kumlinganisha na diara!diara amekua kama benchmark ya makipa nchini!
Ni kweli mkuuDiara kaweka standard yake!kila kipa mpya akija nchini wanajaribu kumlinganisha na diara!diara amekua kama benchmark ya makipa nchini!
Basi hufuatilii sokaHakuna kipa hata mmoja anaelinganishwa na diara acheni kuzusha na kukuza mambo, mashabiki wa yanga wanatunga uongo huko
Madunduka wamepoteana humu mfano hakuna.Kuna Diarra mmoja tu Bongo
Wewe nawe! DahHakuna kipa pale
Don’t rush into a conclusion. Just a couple of mistakes.Ligi yote kipa mwenye klini shiti ni Diarra tu. Maji yameanza kujitenga na mafuta.
So do you agree that Simba is not right place for him to be ....Don’t rush into a conclusion. Just a couple of mistakes.
He’s young, he’s still learning.
He’s an excellent goalie no doubt
Hatakiw kuishiwaTatizo hauelewi kitu mjinga wewe, pale Spider Man aliishiwa Nyuzi,
Kama hujui mambo ya Uspider unaweza mraumu.
Au nasema uwongo janani?
It is a right place for him at a right time.So do you agree that Simba is not right place for him to be ....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hamna kila mle, upepo tu ulimwendea mwanzoni.Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda Camara amekuwa akichoma anapotokea mpira hasa anapotokea nje ya Box.[emoji88]
Maamuzi ni yake na ya Kocha wake, aendelee kufanya ivyo au ajipige zake Gundi Golini.
Wenu mtiifu katika uchambuzi wa mchongo!! Labani og View attachment 3115693
Sio lzm ukubaliHakuna kipa hata mmoja anaelinganishwa na diara acheni kuzusha na kukuza mambo, mashabiki wa yanga wanatunga uongo huko
So why do we need to give him time....It is a right place for him at a right time.
Basi makolo itawauma sana hiii[emoji23][emoji23]Hamna kila mle, upepo tu ulimwendea mwanzoni.
Vp au mnawalogaUzembe sio wake tu wakina Fondoh walikua mbali pia
Yani kwakifupi timu nzima ikiflop