Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Ni vyema kila mtu akabaki na Imani yake...

Wala kwa Kuhani sio kwa ajili ya kupona na Miujiza pekee..

Hata neno la Mungu linahubiriwa...
 
Kama mnapotoshwa lazima tuwatoe shimoni.
Yes.
Kama uliwahi kutoa hata sh. mia 1 kwaajili ya kununua kifaa cha kiroho jua kuwa uliuziwa na wakala wa Ibilisi.
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...

Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...

Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...

Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
 
Ndio tumefikia huko😳 basi Kazi wanayo
 
Binadamu hasa kutoka mataifa haya wana upungufu wa akili mwilini
 
Mi nilipelekwa kwa nabii .Naambiwa matatizo yangu yamesababishwa na Sada kuniibia manii yangu.Ikabidi nikubali nikubali tu ili nisiwauzi walionipeleka.Sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada.Dawa michumvi,mimafuta na udongo wa madhabau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…