Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

"..... I don't believe that heaven waits for only those who congregate....." ni maneno ya Don Williams katika wimbo wake wa I believe in you.
 
ilikuwaje mwamba?
ukute aliambiwa wewe unafanya watoto wako kuwa misukule.
😅😅😅😅
Nakuta picha kubwa imeandikwa baba wa kiroho imetuna juu ya meza ya TV. Nikaona hii kenge inataka kuniletea mawenge ndani. Kadi 2 za njano ikazinduka usingizini, siki hizi anashukuru tu kuwa nilimsaidia. Yule nabii alikula hela zangu sana na asset yangu moja ya ndani ikakabadhiwa madhabauni. Nikawapandia huko huko church ibada ya jioni nishapiga Kvant. Wazee wa kanisa wakaitwa kikao cha dharura, nikawa mbogo balaa, nje nimeacha madogo wanakula kvant incase wakinizingua ndani. Ikabidi mtumishi aje, kawa mpole wanasema kitu kikishakabidhiwa madhabauni akirudishwi. Niwape wiki 2 waumini wachange waninunulie kingine. Sikurudi tena, nikawaachia jumla
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Songa mbele katika Imani.

Watumishi wengi huanza vizuri, mbeleni ndo hukengeuka sababu ya tamaa.

Kama anatoza pesa kumuona, ni Nabii wa uongo huyo.
 
Hicho kitu ndio kimenifanya niache kwenda kwake kuabudu nae

Maji ,chumvi na mafuta Ni vya ghali mno
Hayo makorokoro mnayoyaita vifaa vya imani ni upuuzi mtupu. Imani kwenye Neno, Jina na Damu ya Yesu vyatosha mno kumiliki mlango wa adui zako. Ujinga na utoto wa kiroho utagharimu wengi sana.
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Ooh kma ni kweli naomba namim unipe namba zake
 
Ahahahada
Aisee unaijitahidi kuficha utapeli wa tapeli lakini hutaweza.

hivyo eeeh
Haina shida sababu kila mtu yuko huru kubeba mawazo yake anayoyataka
Ila Mimi nakueleza ukweli na siku nikiwa Dar nikushauri twende tukahakikishe unachokisema
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Dada hili la huduma ya fast track lina ukweli na je watu wanatozwa sh laki mbili kuipata?
 
Nakuta picha kubwa imeandikwa baba wa kiroho imetuna juu ya meza ya TV. Nikaona hii kenge inataka kuniletea mawenge ndani. Kadi 2 za njano ikazinduka usingizini, siki hizi anashukuru tu kuwa nilimsaidia. Yule nabii alikula hela zangu sana na asset yangu moja ya ndani ikakabadhiwa madhabauni. Nikawapandia huko huko church ibada ya jioni nishapiga Kvant. Wazee wa kanisa wakaitwa kikao cha dharura, nikawa mbogo balaa, nje nimeacha madogo wanakula kvant incase wakinizingua ndani. Ikabidi mtumishi aje, kawa mpole wanasema kitu kikishakabidhiwa madhabauni akirudishwi. Niwape wiki 2 waumini wachange waninunulie kingine. Sikurudi tena, nikawaachia jumla
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Ulimjua baada ya kulipa hela au ?
 
Umenikumbusha mke wangu aliingia kanisa la nabii mmoja nikiwa masomoni, narudi nakuta mambo yamebadilika. Nikampa yellow kadi ya kwanza, nikaongeza ya pili na nikamwambia jiandae kupanda basi. Akanyooka sasa karudi kanisa lake la Catholic na akili zimemrudi.
Shida ya Makanisa haya ya kiroho
Ukianza kusali ni kazi sana kujitoa.

Yaani utashikiliwa huko, hawataki uondoke...
Na ukiondoka utaonekana mbaya,umepotea,,,utaanza kusemwa.

Yaani huwa wanaona Mungu yupo huko tu!,na kwewye Makanisa yetu formal hayupo.
 
Back
Top Bottom