Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Sidhani kama kuna ma professor wa chuo kikuu hasa udsm kama prof Winieaster Anderson, maana vitu vingine vinahitaji akilia Kubwa. Wabobezi wa filamu kama akina Mona Mwakalinga sijui kama kwenye hiyo tour wapo.
 
Mbona unamkodolea Macho Rais wetu?
 
Hivi inatengenezwa filamu au Documentary ??

JF ya siku hizi imejaa takataka tupu, useless.
 
Vazi maalum ambalo halimtoshi mtu ni vazi hilo? Ile life jacket pia ilikua vazi maalum?
 
Nafikiri swali lako la msingi ni kufahamu uhusika wake kwenye filamu. Jikite hapo.

Kila scène na namna yake, achana na mavazi…. hata akipewa uhusika wa kichaa wewe heshimu kazi ya sanaa.
 
Hivi inatengenezwa filamu au Documentary ??

JF ya siku hizi imejaa takataka tupu, useless.
Hii ni hatari sana. Jf ya takataka sijui inakuwaje inawaache watu makini kama hawa wawe sehemu ya utakataka.
 
Pole, hii kwako sio ujuaji? Nani kakulazimisha kusoma na kutoa maoni? Ujuaji tu, japo ujuaji ni mzuri!
 
Mkuu huyu wachana naye, kwanza kachanganya maneno mawili kwa lugha mbili tofauti. Kwenye andiko hakuna neno 'filamu' , sasa kaliibua na kuongezea mengine. Hii yote ni frastrations!! [emoji2957] [emoji2957]
Wao wanasemaje? Na documentary kwa kiswahili inaitwaje
 
Hiyo life jacket ni sawa sawa kabisa .........huo ni mfano kamili kwake atambue hata Sisi hiyo miamala anayotuwekea inatubana kama Ile life jacket....soon tutashindwa Hadi kupumua
 
Nmejikuta tu nawaza kama ikitokea angekua ndani ya maji angekua half submergred yani haelei wala hazami


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…