Unahisi mtoa mada anaweza kumudu hizi gharama?Mpeleke hospitali ya Mirembe
Gharama zao kwa mwezi ni 450000 - huduma za dawa na msaada wa kisaikolojia kutoka kwa watalaamu.
Mwisho wa siku atatoka huko akiwa na mawazo ya kujenga na si kunywa Pombe tena. Mlipie akae hata miezi 4 badala ya kukaa mwaka mzima gerezani akipigwa miti
Ukifanya hivyo utarudi hapa kutoa mrejesho.
Sisi tulimlaza mjomba wetu makaburini baada ya kuzima na ulevi, alivyoamka asubuhi alitoka mbio bila kujua anakoelekea, toka siku hiyo aliacha pombeHuyo ni kumchanganyia madawa kwenye pombe tu atapike mpaka akili inayomtuma aende bar!
Hahahahaha mjomba aliona sasa kinachofuata ntajikuta nimezikwa kabisaSisi tulimlaza mjomba wetu makaburini baada ya kuzima na ulevi, alivyoamka asubuhi alitoka mbio bila kujua anakoelekea, toka siku hiyo aliacha pombe
Haha haha daah nimecheka sana mjomba wenu mlimkomesha kisawasawaSisi tulimlaza mjomba wetu makaburini baada ya kuzima na ulevi, alivyoamka asubuhi alitoka mbio bila kujua anakoelekea, toka siku hiyo aliacha pombe
Mwingine alivunjiwa yai asubuhi akasema sio inshu Wala nini maana Kama Ni bikra ya mknd wake inatolewa na mavih kila siku Maisha yake yote.Dawa ni ndogo tu mVuNjie yAi kuna jamaa yangu kaacha Pombe kabisa.
Huyo ni kijana wa Dar nini?Mwache akapumzike akirudi atakuwa kanyooka.. Mitaa ninayoishi kuna mmoja alikuwa hivyohivyo..kaswekwa mahabusu wiki tatu tuu karudi kanyooka kama rula nyumbani anaingia saa 12
Mkuu nazipateje? Nina ndugu yangu pombe ni shida.Dawa za kuacha pombe mbona zipo?;ni kitu nimehakikisha na ni shuhuda kwa macho yangu.
Huyo alikuwa bwabwa mwiba.😃Mwingine alivunjiwa yai asubuhi akasema sio inshu Wala nini maana Kama Ni bikra ya mknd wake inatolewa na mavih kila siku Maisha yake yote.
Imemsaidia sana jela wanalala saa tisa adhuhuriKuingia nyumbani saa 12 nalo ni tatizo kubwa zaidi
Mkuu,kuna waathirika wengi sana hapa.. kwa faida ya hadhira unaweza tudadavulia..Dawa za kuacha pombe mbona zipo?;ni kitu nimehakikisha na ni shuhuda kwa macho yangu.
Acha maneno wewe! Hamna dawa ya kuacha pombeDawa za kuacha pombe mbona zipo? Ni kitu nimehakikisha na ni shuhuda kwa macho yangu.
Simulia Mkuu mabaya ya huko ili watu wajue.Fanya PROB Analysis .. Nimekuwa afisa jela .. Kabla kuwa afisa ushirika .... Anachotaka kufanya jamaaaa kitamgharimu maisha yake yote .... Maafisa jela ni zaidi ya watu ... Amini ...
Maisha ya mule ni "two way -traffic" sinfull/accused ones being the core... Any flaws beforehand totally relies on you.Simulia Mkuu mabaya ya huko ili watu wajue.
Duh!!!, Hatari Sana Aisee.Maisha ya mule ni "two way -traffic" sinfull/accused ones being the core... Any flaws beforehand totally relies on you.
Na asishangae anakuwa waziri wa ujenziKwa profession aliyonayo huwa tunasema: "Atakula shushi". Maana siku hizi kuna miradi mingi ya kufyatua na kuchoma tofali. Kwa hiyo atapendwa sana. Atakuwa msimamizi wa miradi.