Unahisi mtoa mada anaweza kumudu hizi gharama?Mpeleke hospitali ya Mirembe
Gharama zao kwa mwezi ni 450000 - huduma za dawa na msaada wa kisaikolojia kutoka kwa watalaamu.
Mwisho wa siku atatoka huko akiwa na mawazo ya kujenga na si kunywa Pombe tena. Mlipie akae hata miezi 4 badala ya kukaa mwaka mzima gerezani akipigwa miti
Ukifanya hivyo utarudi hapa kutoa mrejesho.