Tunawapima tu kama nawo wanaweza kutafuta aise, sasa wakipasi huo mtihani basi wanaume roho zetu zawa kwatu kwamba kumbe tusipokuwepo Duniani wenzetu wataweza kutunza familia kwa kutumia akili na rasilimali zao..🙂😉Umeoa na mke wako ni mama wa nyumbani. Katikati ya mwezi unajikuta una nauli tu ya kuendea kazini. Asubuhi unamuaga unamwambia hali ngumu afanye maarifa.
Mke amekopa kwa mangi. Kwa mapenzi aliyonayo kwako unakuta wali kuku na Mirinda ya baridi. Huulizi hela alipata wapi. Mbona mnatuacha kwenye hali mbaya?
Umeongea vyema.Nilibahatika kuishi sana na Wanigeria. Wao formula yao ya maisha ni kuwa nwanaume lazima uwe na biashara.
Kazi na biashara viende pamoja. Hata kama unalipwa laki na nusu hiyo ni guarantor ya kuchulia mkopo wa kuongezea biashara.
Mke ndiye ubavu wako, atasimamia biashara wakati wewe uko kwenye paid job.
Huwezi kumwambia 'baba fulani maarifa nimekopa dukani' ?Umeoa na mke wako ni mama wa nyumbani. Katikati ya mwezi unajikuta una nauli tu ya kuendea kazini. Asubuhi unamuaga unamwambia hali ngumu afanye maarifa.
Mke amekopa kwa mangi. Kwa mapenzi aliyonayo kwako unakuta wali kuku na Miranda ya baridi. Huulizi hela alipata wapi. Mbona mnatuacha kwenye hali mbaya?
Sasa wao wakiambiwa wafanye maarifa wanafikiria kuuza papuchi!MKIAMBIWA MFANYE MAARIFA MAANA YAKE KAKOPENI KWA KINA MAMA NANII YANI MASHOGA ZENU AU UNAENDA KUZUGA KWENU UNACHUKUWA HATA VIMBOGAMBOGA .
Sasa wao wakiambiwa wafanye maarifa wanafikiria kuuza papuchi!
Umeoa na mke wako ni mama wa nyumbani. Katikati ya mwezi unajikuta una nauli tu ya kuendea kazini. Asubuhi unamuaga unamwambia hali ngumu afanye maarifa.
Mke amekopa kwa mangi. Kwa mapenzi aliyonayo kwako unakuta wali kuku na Miranda ya baridi. Huulizi hela alipata wapi. Mbona mnatuacha kwenye hali mbaya?
Hata akiwa manager wa benki anaweza kuchepuka mkuu,Tabia mbaya hailetwi na matatizo ya hela.Hivi mwanaume unashindwaje hata kumfungulia biashara ya genge mkeo aache kuwa mama wa nyumbani.akiwa busy huko hata kukusaliti inakuwa ngumu kidogo hawezi kuacha genge akaenda Lodge ila Sasa akiwa mama wa nyumbani umekaribisha michepuko tayari na umeipa uhuru.akiwa na biashara yake hamwezi kukosa hela ndogo ndogo za chakula.hiko ndicho nikiwazacho
Kuna wanawake wana akili. Hela za matumizi unapompa ana-save kiaina siku ukisema kama hivyo hali ngumu anakusaidia siku hazilingani.Kazi yetu ni
1.Kuhakikisha malazi bora ya familia
2.Kuhakikisha matibabu bora ya familia,na shule ada zinalipwa
3.Kuhakikisha chakula kipo nyumbani 24/7
4.Na ustawi bora wa familia
Msamiati wa fanya fanya utaratibu ni uhuni,huwezi kuwa baba usiye na mipango endelevu ya familia
utamchotea mtu maji upate hela
utapita kwa watu kufua nguo
utachoma chapati, mandazi and the like
utapika uji uuze stend jioni