Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Samahani sana Ms. Judith, ingawa moyoni ninalijua hilo, lakini kwa mazowea kwenye keyboard mikono ya ilipata kigugumizi.
Asante sana kwa kutukumbusha.
Mungu akulinde muda wote na ubarikiwe sana mpendwa.

mpendwa Mammamia,

asante sana na please take easy. hakuna kabisa haja ya samahani!

niliona tu kuwa ni muhimu kuwekana sawa pale manake mtu anawezatuma mfano PM kwenda Miss Judith na kumbe mtu mwingine akawa tayari kajisajili na hiyo ID na mimi siitumii tena!!

enjoy your weekend mpendwa

ubarikiwe sana

Glory to God!
 
sitorudia tena kumwambia mwanamke afanye maarifa
nilishwahi fanya hivyo
nikaja gundua x boy frend ndo kafanya maarifa
ili hudhi kupita maeleezo
mbaya zaidi akaendelea kufanya maarifa hadi mengine
 
sitorudia tena kumwambia mwanamke afanye maarifa
nilishwahi fanya hivyo
nikaja gundua x boy frend ndo kafanya maarifa
ili hudhi kupita maeleezo
mbaya zaidi akaendelea kufanya maarifa hadi mengine

duh pole saana
 
" Baadhi ya familia".. then hzo family ni ZERO.
 
From a woman's perspective, baba hayo uliyokuta ni manyoya alishaliwa kuku huyooo!
Kitendo cha mkeo kumuambia jamaa kuwa kuku aliyetolewa jana hatukumla ujue wana maongezi yaliyopitiliza. Wanawake huwa tuna tabia ya kufunika aibu zetu hata mwenza akichemka. Ulipakwa mafuta na mgongo wa chupa baba! Kuna mtu nilikuwa accused kuhusiana nae 11 yrs ago, hadi leo hajui manake kumuambia ni kufungua mlango wa majadiliano ya hivyo!
 

mhhhhhh women bana .....
 

mpendwa King'asti,

natumaini hujambo.

nimeupenda sana huu mchango wako. hata mi nilishangaa hayo mawasiliano ya uwazi namna ile eti na "jirani"! nikaona niwasubiri wajuzi zaidi mje kutoa comments. kwa kweli yule mwanamke alikuwa na tabia mbaya sana!

ubarikiwe sana mpendwa,

Glory to God!
 

mmmh mi sjakutana nayo hii labda tu ungeelezea zaidi huyo mama anafanya nn na mambo yakaenda ambayo umeskia au umeona? unamfano? elezea
 
Maarifa ni maarifa tu!
Kama mwanamke ni kilanga, hata bila kuambiwa fanya maarifa - atagongwa tu!
 
Kuna siku nilimsikia mtu anamwambia mke wake "fanya maarifa best yangu"kisa mke kaomba hela ya kwenda sokoni nikafikiri wanataniana kumbe hua wako serious!!kazi ipo..
 
utamchotea mtu maji upate hela
utapita kwa watu kufua nguo
utachoma chapati, mandazi and the like
utapika uji uuze stend jioni

lol, ni kweli aisee, me kuna mama alikua anatoka kigamboni kuja kufua na kusafisha nyumba tabata. for two hrs she makes 10,000
 
wanawake wa enzi za mwalimu walikuwa wanatumia vibubu kutunza vichench vyao. sie wa .com tuna hisa, vyama, malkia akaunti na zingne kama hzo. so hatuwez kukosa vijisent katika hzo akiba. The Boss mwanamke anayejiheshimu na anayeiheshimu ndoa yake co lazma akachune buz ndo afanye maarifa . . .
 
Last edited by a moderator:
maarifa ni mengi kwa mwanamke
hasa village girls
utaomba unga kwa jirani
utakuwa na bustani ya viazi
utakuwa na bustani ya mboga mboga
utakusanya kuni uuze

so many
hata mjini utaenda kwa mangi atakukopesha unga wa ngano mafuta sukari, utapika maandazi au chapati unauza
 

mbona thread yako ina jibu tayari.
 
Maisha yana kila aina ya vituko na mambo yasiyoeleweka!
 
afu siku zingine bangi huwa inanizingua kumbe, hapa sijui kilikuwa cha arusha au iringa?
 


kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....
 
Wengine wanakwenda Mbali zaid kwa kuwaambia "Fanya Makeke basi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…