Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

hahaha yaani ulitakiwa ulipozaliwa uitwe Huba weye, Moyo wako wako,Stori zako,Sauti yako [emoji23] zimepambwa kwa manukato ya mahaba tu Kasie mahaba wee. Yaan ukiingia tu humu ndani ya Jf lazimia nisikie harufu ya huba lako.

[emoji23] [emoji23] Ya JJ tuyaache maana najua utanitetea, jicho lako tu latosha kushusha munkari wa yule bwana,

Daah habari ya madodoso umenikumbusha mbali sana,kuna experience unaipata huwezi kuipata kokote kule,ingawa watu hawawi wakweli sometimes ila ni kitu flani unique sana ktk kujifunza na kupata taarifa. All the best, usije walewesha wana kaya na hayo mahaba yako.......madodoso yatakosa udodosi [emoji23] [emoji23]
 
hahaha yaani ulitakiwa ulipozaliwa uitwe Huba weye,
Hahahahaaa inabidi uombe kibali cha kunibatiza niitwe Hubaa hehehehehe
Moyo wako wako,Stori zako,Sauti yako [emoji23] zimepambwa kwa manukato ya mahaba tu Kasie mahaba wee.

Ooh woow, umenifanya ning'are nijione mweupee kama cheupe dawa kumbee waalaa nimepakwa chocolate. Itabidi uninusishe hayo manukato ya mahaba maana mie hata sijui yananukiaje.....

Ila sauti umesikia wapi wewee.... mbona Kasie ana sauti ya bezi aka sauti ya zege hehehehe

Yaan ukiingia tu humu ndani ya Jf lazimia nisikie harufu ya huba lako.

Hahahahahaa huo ni uchochezi ujuee utanuniwa hehehehee shauri yako...

[emoji23] [emoji23] Ya JJ tuyaache maana najua utanitetea, jicho lako tu latosha kushusha munkari wa yule bwana,

Hahahahahahhaaaa Dikeleniiii oohooo shauri yakooo, haya macho ya mchina ya Kasie umeyaona wapii?
Yeah usemacho ni kweli kabisaa....
Hahahahaa hawawezi kulewa sana sana wao ndo watanilewesha mie. Udodosi lazima upatikane.

Mchana mwema.

Kasie Mahaba.
 
[/QUOTE] hahaha haya niambie hiko kibali naende kukiombea wapi,najitoa muhanga mie @Hubaa
 
hahaha haya niambie hiko kibali naende kukiombea wapi,najitoa muhanga mie @Hubaa

Weeweee shauri yakooo, nime update hapo juu angalia quote nimeirekebisha.

Mtafute mtoa kibali yupoo....
 
Weeweee shauri yakooo, nime update hapo juu angalia quote nimeirekebisha.

Mtafute mtoa kibali yupoo....
hahaha yule hana nguvu kwako,ahemi,hapumui wala hakooi,chezea kumbato la huba lako [emoji23] [emoji23] Idhin yako ndio jambo la msingi zaidi kwangu kuliko chochote,afu si unajua mi na yeye damu zetu haziendani kabisaa [emoji23] [emoji23] Kasie umeniuzia kesi ujue.

Jion njema
 



Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'
 
Hahahahahaaa wee babu umeibukia wapi? Hivi upoo? Nilijua nawe umekumbwa na gonjwa la kuogopa uhenga na kuja na NEW ID. .....

Maana humu unashangaa ID huijui na ni ngeni ila utasikia... Kasie za siku nyingi... nimekumiss....

Nashukuru kukuona bado upo japo si kama enzi zako zile ulikuwa akitivu hadi rahaa...




Back to the topic, kiukweli hata sikujua kama ulishaweka bandiko linalofanania na alikoweka Kasie.

Mie nilikutana na huo mkasa nikiwa fildi kukusanya dodoso wiki kadhaa zilizopita.

Wasalimie .........

Kasie Mahaba.
 

Nipo ...id ni hii hii tu
Magufuli anatukimbiza....
 
the boss maarifa mengi mnoo, siku hizi kuna akina mama wanapiga daiwaka anakuja anakufulia na kusafisha nyumba unampa elfu tano yake , watoto wanakula
 
..

Sasa 'haya maarifa' ya wanawake ni yapi?
The Boss Wanawake wana maarifa mengi sana,Muuza genge anafahamiana naye, muuza bucha anataniana naye, Kwa mangi ndio usiseme, Vibubwi ndio wenyewe, Kwenye michezo ya kina Mama anacheza michezo Mitatu majina mawilimawili yote anapokea,VICOBA ndio anakowekeza, Vyama vya wamama mitaani huko nako wamo. Maarifa ya mwisho ni yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…