Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maarifa ya kwenda kukopa kwa mangi[emoji30]Umeoa mwanamke unajua ni mama wa nyumbani, asubuhi anakueleza mahitaji ya nyumbani unamwambia mke wangu fanya maarifa. Haya maarifa ni maarifa gani unayotaka mtoto wa watu ayafanye?
Nothing to add....Nimo kwny jamii mkuu kwanini nisiyajue, Nina ndg, marafiki na majirani
Deni lisipolipwa unaruhusu Mangu access ya ziada kwa mkeoMaarifa ya kwenda kukopa kwa mangi[emoji30]
Nipo mpakani rusumo, nikisettle ntakucheki mkuuNothing to add....
na ninavyokukubali sasa... upo nchini?
Ukikuta dagaa wa kuchemsha usilalamike mkeo hujui kupikaVita ya uchumi ambayo huwa anasema raisi Ndio hiyo Kwani huwa hamuelewi?
Unaachiwa buku mezani utajiongeza mwenyewe ufanyeje ili tumeze
Hainaga makombo wewe kula tuu usiulize ukitaka kumla bata usimchunguze sanaTena mwanaume anasema mke wangu fanya maarifa in arudi jioni unakuta mke wako amepiga polaubya kuku na soda juu. Mke Huyu hana kazi huulizi pesa ametoa wapi?
Dah duniani kuna mambo na dume linakaa vizuri linakula asalaleeeeeeTena mwanaume anasema mke wangu fanya maarifa in arudi jioni unakuta mke wako amepiga polaubya kuku na soda juu. Mke Huyu hana kazi huulizi pesa ametoa wapi?
Hamnaga jema nyie wanawake! ukiachiwa kidogo malalamiko kibao,ukiachiwa nyingi hiyo hiyo unabana kweli ufanye matumizi yako yasiyo ya lazima......Ukikuta dagaa wa kuchemsha usilalamike mkeo hujui kupika
kapeace ushaolewa?Nimo kwny jamii mkuu kwanini nisiyajue, Nina ndg, marafiki na majirani
Hongera Hii inawahusu wasiowajibika,Mi najua kuwajibika mama, usinitemee makohozi hayo
Kwanini usiende kukopa ww!!! Mwanamke akakope kwa mwanaume siku akimla ulalame tusivyo waaminifu nyie nyie wakati mwingine dharau mnajitengenezeaMaarifa ya kwamba akope akirud mwanaume alipe deni ndo inavokua japo haitakiw kua mara nyingi
Ndio nimeshaolewa mkuukapeace ushaolewa?