Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Hawachelewi kuanza kupiga propaganda za kusema chaguo la sisiemu ni chaguo la mungu hawa!
 
Your browser is not able to display this video.

Hivi huoni aibu?

Ingekuwa wewe ndio Lissu ungekubali kushiriki huu upuuzi unaoitwa uchaguzi chini ya tume iliyojaa makada wa CCM na wateule wake?
 
Tatizo la watu kutosoma nyakati hivi kuna mtu atawaheshimu viongozi ambao wamechaguliwa katika mazingira ya vyama kugoma kushiriki hasa Chadema!
Uchaguzi wa 2020 si Chadema waligoma, wakauita ni uchafuzi, wakagomea kutambua matokeo!, wakagoma kumtambua mbunge wao mmoja, wakagoma kupeleka majina ya viti maalum, angalia niliwashauri nini CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao, angalia kilichokuja kutokea J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
Tatizo si sheria pekee ni uhalali.
Mshindi wa uchaguzi wetu ni by
a simple majority, hata kama tuko millioni 60, wakajitokeza wagombea wawili wa urais na wapiga kura 3, mmoja akapata kura 1, mwingine kura mbili, yule mwenye kura mbili ni mshindi halali!.
Kama unaongoza wananchi ambao wengi wanaona umeiba uchaguzi kama kweli wewe ni mzalendo jiulize unamuongoza nani hasa?
Hili nililizungumza Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
kama kweli nia ni kuongoza wananchi sasa kwanini unnalazimisha chaguzi ambazo sio za kidemokrasia?
Hili neno
Kama unataka uongozi bila kujali demokrasia sasa kwanini michakato yote hii ni ya nini kupoteza pesa zote za wananchi kwa sababu gani hasa!
Hili nililishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? nilisema

P
 

Yaani chama gani chenye watu wa makini watakubali kwamba matokeo ya uchaguzi wa 2020 yalikuwa ya uchaguzi huru! Wakati mwingine P, hapa ndiyo unaonyesha umezaliwa kizazi cha wanafiki maana unajua ukweli! Acha huku kujipendekeza hakuna tija bro be you
 
Yaani chama gani chenye watu wa makini watakubali kwamba matokeo ya uchaguzi wa 2020 yalikuwa ya uchaguzi huru! Wakati mwingine P, hapa ndiyo unaonyesha umezaliwa kizazi cha wanafiki maana unajua ukweli! Acha huku kujipendekeza hakuna tija bro be you
Mkuu Kamu,@kamundu,watu tunatofautiana sana uwezo wa uoni,visions,wengine uwezo wao ni mwisho wa pua zao,na wengine wanauwezo wa kuona mbali。

Wengi wetu uchaguzi wa 2020 wameuona kwa matokeo ya uchaguzi ule ndio wakaanza kupiga mayowe,angalia tarehe ya mabandiko haya nilisema nini na lini!
  1. Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
  2. The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja nilisema
  3. Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? nilisema
  4. CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike nilisema
P
 
Ni katika kukumbushana tuu, kushiriki uchaguzi ni hiyari, kupiga kura ni hiyari, kutopiga kura ni hiyari na kutopiga kura sio kosa, watu wasilazimishwe.

P
 
Yeye anauelewa wa No Reforms no Elections wanayoizungumia Chadema?
 
Huyu chawa akasalimiwe wazee; imagine posho ya siku 2 ilimfanya ateme rubbish yote hii🚮🚮🚮🚮
 


Naona ulijisahau sana wakati tunawaambia sio Chadema ni watanzania mlikuwa hamtuelewi na kufikiri kila kitu ni Chadema sasa naona mnaona ukweli. Wakati mwingine sikilizeni hamtakuja kujilaumu. Wangemsikiliza Lissu na kuongeza muda wa Samia angekuwa Raisi leo sasa anakimbia kimbia na kujificha na hawezi tena kuongoza hili taifa
 

View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rVHuyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Haiwezekani mtu ninayemuona hivi
Haiwezekani mtu wa namna hii akatwa Yuda, tunaomjua kuwa sio Yuda tukanyamaza.
Huyu dogo kachemka big time!.

P

P
 


Kwa sasa hakuna mtu anaweza kumgusa mbunge wa zanzibar,

Hata akisema bunge lifungue bar au ukumbi wa disco, wanacheka tu
 
Baada ya kuzuka minong'ono fulani kumhusu mtu huyu kuhusiana na kikao cha charura cha NEC kilichoitishwa bila agenda yake kutangazwa hadharani, namtafakari kwa makini mtu huyo, huku nikijiuliza kama kweli hii minong'ono inaweza kuwa kweli?, nikajijibu mwenyewe, minongono hiyo ni uongo na uzushi!, haiwezekani mtu anayemsaidia hivi bosi wake, kukisaidia hivi chama chake, kuisaidia hivi nchi yake, na kuwasaidia hivi Watanzania, halafu kakikundi cha watu, wanaoitwa chama chake, wakakutana na kutumulia Watanzania!.
Hiyo minong'ono hiyo ni uongo na uzushi kutaka tuu kutuletea taharuki, lakini hakuna kitu kama hicho!.

Mzee Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…