Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

Kama haujui,basi,weye ni lijinga!
 
Watu bado wanamaumivu aliyowasababishia Mkuu.. wewe huwezi kuelewa, aliyevaa kiatu ndo anajua msumali unachomea wapi.
 
Kwa kiswahili cha haraka haraka, hawatoboi!

Ajenda ni ndefu na Haihusu Magufuli...peke yake bali na watu kama yeye na ni mlolongo mrefu wa viongozi waliokataa kunyonywa na Wazungu. Period.

Apparently they are fighting "woke" in progress.
Ila akakopa matrilioni yenye masharti magumu Kwa hao hao wazungu huku aliwadanganya kuwa ni fedha za ndani
 
Hivi mlishawalipa wakulima wa korosho wa kusini fedha zao za korosho mlizopora
 
Viongozi wengi wa upinzani na wafuasi wao ni wajinga sana wana waamini na kuwapenda CCM walio baki ila wanamchukia Magufuli wakati hata utawala wa sasa bado ni hio hio CCM.

Sidhani hata kama wana fahamu adui yao ni nani ?
Hivi ni lini mtawarudishia wale jamaa wa bureau da change fedha zao mlizowapora kijambazi chini ya mitutu ya JW
 

..tatizo lenu mnampenda Magufuli kuliko mnavyoipenda Tanzania.
 
Wanajitahidi kumchafua wa wananchi ambao hawataki Hata kuelewa maneno yao, watatumia Nguvu kubwa Ila vitu alivyofanya JPM raia wanamuelewa na wataendelea kumuelewa Daima
Kusini hatutakaa tumuelewe alitupora korosho yetu kibabe Kwa kutumia karandinga za jeshi

Wafanyabiashara wa bureau da change hatutajakaa tumuelewe alitupora fedha zetu kijambazi chini ya mitutu ya JW

Kuna walioporwa fedha Kwa nguvu ukikataa unapewa kesi ya uhujumu uchumi kumbe fedha zinafichwa China akaunti za watu zikazuiwa kibabe unaambiwa ni maelekezo kutoka juu pesa zinakombwa

Kaua wengi Kwa presha na visukari Kwa ujambazi wake mlaaniwa yule
 
Kwahiyo hiyo ndio inawasaidia wapinzani kushinda uchaguzi?

..watu walitekwa, waliteswa, walitiwa ulemavu, waliuawa, unategemea kusiwe na lawama?

..kiongozi yoyote akiacha rekodi mbaya ya kuvunja haki za watu, ukatili, na mambo mengine kama hayo lazima atalaumiwa.
 
Marehemu ndio mlaaniwa hawezi mlaani yeyote mfu wenu huyo
 
Upinzani wanatumika? Kwani ni lini upinzani hawajawahi mkosoa JPM? tokea JPM awatangazie vita kuwa ataufuta upinzani imekua ni mgogoro wa wazi Cha kushangaza kaingia samia eti mtu akimkosoa JPM anageuka mlamba asali??

Wa kuwashangaa ni hao wa CCM waliomgeuka JPM ila upinzani its been clear tokea 2017 kwamba hawampendi JPM so hakuna Cha kushawishiwa Wala kutumika ni a matter of Principle tu.
 
Kama hawajui wale waliokuwa wakiitwa wanyonge ambao ndio wengi Nchini bado wanaendelea kumuomboleza !! Sasa sijui kisiasa kama hiyo ni afya nzuri kuendelea kumnanga marehemu !! Ni bora kazi hiyo wangewaachia wengine waifanye sio wao kwenye mikutano yao ya hadhara !! Ni ushauri tu nadhani hii itawaharibia !! Watu bado wanamkumbuka kwa yale mema yake sio kwa yale mabaya kama alivyotabiri mwenyewe !!
 
Kwahiyo hiyo ndio inawasaidia wapinzani kushinda uchaguzi?
Eeh maana itaonyesha kuwa tokea uhuru tawala zote za CCM ni Bure kabisa so itaondoa dhana kwamba CCM inaweza kujirekebisha au kutupatia Rais bora!! So hiyo strategy ya kisiasa.
 
Wewe ndiye huelewi. Hadhambuliwi mtu bali ni chama. Na wanachokifanya ni kuanzia pale walipoishia. Kwa Sasa siasa zimerudi seven years kwanza..... Hata zile pesa za China alizozibua Maza nazo ni za yule yule Bwana. Taratibu watafika huko unakotaka kusikia.... Kwa Maza.
 
Ila màgufool alifanikiwa sana kujiweka mioyoni mwa wadanganyika kwahiyo CHADEMA kazi wanayo ya kutimiza contract waliyopatiwa na mama & JK

Nidclare interest magufuli sikuwahi kumuelewa kabisa mpango wake ulikuwa ni upi kuwadanganya watu kokote alikpokwenda

#wazuri hawafi
 
Nioneshe uzi niliyoandika unamsifia Magufuli?

Kwahiyo kufanya hivyo ndio inawasaidia wapinzani kuchukua nchi?

Hata kama haiwasaidii wewe unaumia kitu gani ? Kama unalipenda lile jambazi liuwaji kanywe dawa ya panya ukalisifu kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…