Habari wakuu,Nioneshe uzi niliyoandika unamsifia Magufuli?
Ufuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.Nioneshe uzi niliyoandika unamsifia Magufuli?
Ila akakopa matrilioni yenye masharti magumu Kwa hao hao wazungu huku aliwadanganya kuwa ni fedha za ndani
Yamkini wamelipwa pesa ili kumchafua aonekane alikua hafai, kazi ya mafisadi hiyo ya ndani na nje ya System, maana kazi zake kila mTanzania anajua, na wanajua wananchi wanawashangaa kwa sasa ni kama hakuna wanacho fanya , sasa wanawaziba wananchi maneno wasiendelee kuona mtangulizi kua alitufaa, wanamjengea tuhuma kila kukicha ilihali kazi zake na matokeo tuliyaonaHabari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Kwahiyo hiyo ndio inasaidia wao kuchukua nchi?Watu bado wanamaumivu aliyowasababishia Mkuu.. wewe huwezi kuelewa, aliyevaa kiatu ndo anajua msumali unachomea wapi.
Kama issue sio kuchukua nchi basi msije mkalalamika mmeibiwa kura kama kisingizioIssue sio kuchukua nchi issue ni maovu yake yasemwe Ili vizazi vijavyo visije kurudia makosa kama yaliyofanyika 2015
Luciferi Magufuli atashambuliwa na kupigwa popote pale penye nafasi ya kuzungumza hadharani, kwa sababu tunataka jambo hilo la kumkabidhi madaraka makubwa kiasi hicho mhamiaji haramu, gaidi, katili, mwizi na jambazi lisije likatokea tena nchi hii! Hayo yatasemwa tena na tena mpaka umma wa watanzania hata vijana wachanga wanaojua wajenge shauku huyo mtu alikosea wapi! Kwanini anashambuliwa hivyo na kutukanwa kiasi hicho!Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Ukweli ni kwamba Magufuli alitesa watu na kuumiza wengi. Afadhali “amekufa” angekuwa hai angesota na kuaibika vibaya. Kuna kila sababu ya kuendelea kuweka uovu wake wazi ili jamii itambue ukweli uliofichwa na kuwa makini mtu kama yeye asiwe tena kiongozi wa nchi.Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Ajenda hiyo sio ya wapinzani ila ya wana CCM wahafidhina ambao walibanwa na JPM badala ya kujitokeza wenyewe hadharani wamejiungamanisha na chama fulani kinachopendelea biashara haramu na ufujaji wa mali za umma wapambane na mfu kuwanyong'ong'onyeza waliokuwa wanamuunga mkono JPM bila kujua iwanajimaliza wenyewe na CCM yenyewe kuja kufutika kwenye uso wa duniaHabari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Headline haikuwa kuhusu upinzani kuchukia nchi bali malalamiko ya kwanini upinzani wanamshambulia Jiwe.Kwahiyo hivyo ndio inawasaidia Upinzani kuchukua nchi?
Wapinzani bado wana hasira na marehemu,na binafsi naona hasira zao hazina logic.Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Kwasasa wapinzani hakuna nchini,,Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Unauliza mara kwa mara hili swali...Kwahiyo hiyo njia ndio inawasaidia kushinda uchaguzi?
Huyo marehemu naye ni miongoni mwao.Tuna wanasiasa wa hovyo sana nchi hii
USSR