Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Huna hoja yoyote wewe CHAWA mkubwa..Sema shida yako kuu unadhani kila mtu humu ni mshabiki wa vyama au mtu wengine tupo hapa kwaajili hoja sio kufanya uchawa
Unawashangaa watu kumsema na kumkosoa aliyekwisha kufa yaani "Jiwe"
Lakini wakati huo huo nyie Chawa Kila kukicha mnaisifu maiti hiyo hiyo na halafu eti unasema "upo hapa kwa hoja!!".
You must be out of your mind========
Sasa Mimi nakuambia huyo ndugu yenu, watu watamwandikia na VITABU kabisa ili kuweka kumbukumbu ya mabaya na mazuri yake aliyoyafanya Kwa vizazi na vizazi...
Fahamu tu kuwa John P. Magufuli was a president of this beautiful country. His actions during his leadership must documented and be told today and the future generations..
Sasa kama unaona hili ni tatizo, basi bila shaka wewe ni mjinga fulani unayepiga propaganda tu za siasa za majitaka na huna hoja yoyote...!!