Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Wakati mwingine hatununui vitu kwa sababu tunavipenda tunavinunua kwa sababu ndivyo tunavyomudu. Kwa sababu hii ndio maana wanaume wengi wakijipata wanaanza wacheat wake zao kwa mademu yenye misambwanda maana wakati huo wanayamudu ila hapo awali walichukua walicho nacho kwa sababu ndicho walichokuwa wanakimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…