Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Dawasa wanatumia namba za simu na ni wao waliolaza mabomba, Tanesco wanakuuliza eneo na uwasubiri CCM au msikitini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taaluma ya Mipangomiji ni taaluma ya Sayansi Asili (Natural Science) au Pure and Applied Science, siyo SIASA.Habari wana Jf!
Moja kwa moja nende kwenye swali langu hapo juu.
Katika mtaa wetu tulibahatika kupitiwa na zoeli la anuani za makazi kama serikari ilivyotangaza.
Na ni kweli tuliandishwa na kupewa namba na majina ya mtaa yaliyochaguliwa.
Cha ajabu ni kwamba watu tumebaki na namba lakini hakuna kilichoingizwa kwenye mfumo.
Ukiuliza TCRA na kuwapa taarifa za kukosekana kwa tariifa za majina na mitaa husika wanasema, huu mfumo ni endelevu na kila mmoja atafikiwa.
Mbaya zaidi kuna baadhi ya mitaa imejirudia majina na mingine haipo kabisa.
Swali langu kwenu wanajamii wenzangu mlioitikia wito huu wa serikali yetu kutufikisha kwenye ulimwengu wa Technology;
Je! Hizi post code zimewasaidia?
Mnaoagiza vifurushi na bidhaa mbalimbali mtandaoni, bidhaa zenu zinawafukia mahali mlipo au ndio mchezo uleule wa kuzifuata kwenye makampuni husika?
Na je kwenye ujazaji wa anuani hizo kwa baadhi ya document kwenye makampuni ya biashara mtandao hakuna usumbufu?
Karibu kwa ufafanuzi!
Kwa sisi tuliounganishiwa umeme na maji tatizo likitokea ni lazima utoe maelezo ya kutosha ndio wakufikie. La sivyo utabaki na tatizo lako. Na ndio maana tunauliza faida yake iko wapi?Tanesco na mamlaka za maji wanafikaje kutowa huduma na Mita za maji wanasoma vipi?
Uko mwaka wa ngapi huko chuo Mkuu!Taaluma ya Mipangomiji ni taaluma ya Sayansi Asili (Natural Science) au Pure and Applied Science, siyo SIASA.
SAYANSI kwa kawaida huwa ina misingi yake ambayo ni lazima uifuate ili kupata matokeo yanayokusudiwa.
In short, Mipango-miji ni SAYANSI, ukifuata KANUNI 'Matokeo Chanya' utayapata, na Usipofuata Kanuni 'Matokeo Hasi' lazima utayapata.
Pole yako sana, hujanielewa comment yangu hii, lakini sishangai kwa sababu najua sababu ya wewe kuwa na mtazamo wa namna hii ni kukosa "EXPOSURE." hapa duniani.Uko mwaka wa ngapi huko chuo Mkuu!
Huu mfumo wa post code upo katika kundi lipi katika haya mawili uliyosema?
"Taaluma ya Mipangomiji ni taaluma ya Sayansi Asili (Natural Science) au Pure and Applied Science, siyo SIASA."
Kipi usichelewa uelekezwe?kuna vitu vingi sana umeuliza unaweza kuspecify concern ni ipi
moja umesema kuna maeneo yana post code, unakaa kata ipi na mtaa upi ambao hauna post code?
weka jina la eneo lako ili tusearch kwenye website tujue ukweli
pili umeuliza kuhusu faida za post code , upo serious hujui?
Sawa mkuu! tusirumbane.Pole yako sana, hujanielewa comment yangu hii, lakini sishangai kwa sababu najua sababu ya wewe kuwa na mtazamo wa namna hii ni kukosa "EXPOSURE." hapa duniani.
Endapo kama ungewahi kufika au kuishi kwenye nchi mojawapo iliyoendelea sana kwenye suala hili la Mipango-miji na Misimbo ya Makazi (Post-Codes &Area Codes), nadhani ungenielewa vizuri sana kwenye comment yangu hiyo ya hapo juu.
Tz haikufanikiwa kwenye suala hili la Postcodes kwa sababu Serikali ilikurupuka Kisiasa ktk kutekeleza Jambo hili la kisayansi, walipaswa Kwanza Kufanya Miradi ya Mipango-miji ndipo lingekuja suala hili la Postcodes. Msingi mkuu kabisa wa Postcodes mahali popote pale duniani ni Mipangomiji, endapo kama hakuna Mipango-miji basi hakuna Mradi wowote wa Postcodes unaoweza kuwa "viable."Sawa mkuu! tusirumbane.
Moja ya faida nilizoziona kwenye nchi za wenzetu ndio kilichopelekea niulize hapa kwetu Tanzania.
Huna akili, mtu yeyote mwenye exposure aliyesafiri duniani anajuwa faida za post code.
Ndugu zenu wengine wapo ulaya muda huu kazi yao ni zao la post code Wanasambaza magazeti na brochure mbalimbali na baiskeli mitaani kila nyumba.
Ni mjinga peke yake ndio hawezi kujuwa faida za Post code.
Habari wana JF,
Moja kwa moja nende kwenye swali langu hapo juu.
Katika mtaa wetu tulibahatika kupitiwa na zoeli la anuani za makazi kama serikari ilivyotangaza.
Na ni kweli tuliandishwa na kupewa namba na majina ya mtaa yaliyochaguliwa. Cha ajabu ni kwamba watu tumebaki na namba lakini hakuna kilichoingizwa kwenye mfumo.
Ukiuliza TCRA na kuwapa taarifa za kukosekana kwa tariifa za majina na mitaa husika wanasema, huu mfumo ni endelevu na kila mmoja atafikiwa.
Mbaya zaidi kuna baadhi ya mitaa imejirudia majina na mingine haipo kabisa.
Swali langu kwenu wanajamii wenzangu mlioitikia wito huu wa serikali yetu kutufikisha kwenye ulimwengu wa Technology; je! Hizi post code zimewasaidia?
Mnaoagiza vifurushi na bidhaa mbalimbali mtandaoni, bidhaa zenu zinawafukia mahali mlipo au ndio mchezo uleule wa kuzifuata kwenye makampuni husika?
Na je kwenye ujazaji wa anuani hizo kwa baadhi ya document kwenye makampuni ya biashara mtandao hakuna usumbufu?
Karibu kwa ufafanuzi!
Kwahiyo wewe huwezi kuwa na busara za kupanda Miti ili kizazi chako kije kufaidi kimvuli?
Ukiona umekaa kimvulini, elewa kuna watu wenye busara walipanda hiyo Miti.
Labda faida ya anwani za makazi tutaziona baadaye
SHUHUDA: Mimi mwenyewe natumia post code, nime integrate kwenye ecommerce yangu. Numetumia kwa namna hiziTuna viongozi vichaaa
Vichaaaa
Vichaaaa
Vichaaaa sana.
Wakienda ulaya wakikuta kitu wanakuja kuaply huku.
Mabilioni yale ya post code yangetumika kuboresha afya na elimu.
Mtu anakaa Nyumba ya nyasi post code itamsaidia nini?
www.voxmart.co.tz
Boss kuhsu kuagiza tunaagiza sana ila hizo post code hazijasaidia kuleta huduma mpaka home.Kipi usichelewa uelekezwe?
Nimeongelea waliojisajiri lakini taarifa zao hazipatikani, mitaa kujirudia majina na mingine kutopatikana kulinganga na majina yaliyopo, nimeuliza wajasilia mali wanao agiza bidhaa nje ya nchi kama mfumo huu umewasaidia kuwafikishia bidhaa zao katika anuani husika,( na hawa ndio wanajua vizuri faida ya postcode)
Najua kata zote ukiangalia kwenye website yao zipo.
Sasa kama kila mmoja ana anuani binafsi za mbona mashirika mengi yanashindwa kuzitumia na wakati wana taarifa zako zote?
TCRA wenyewe ukiwauliza wanakupa namba za maofisa wa kata husika uongee nao. Ukiuliza wanakuambia zoezi hili ni endelevu watafika katika huo mtaa husika na wataalam wa TEHAMA. Ukipewa jibu hilo ndio nitolee