Holota Senior Member Joined Feb 20, 2022 Posts 146 Reaction score 142 Jan 7, 2026 #1 Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
Holota Senior Member Joined Feb 20, 2022 Posts 146 Reaction score 142 Jan 7, 2026 Thread starter #2 Atupe mwongozo upatikanje wake ukoje na ishu ya malipo pia
I Ingoko JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 4,081 Reaction score 6,367 Jan 7, 2026 #3 Mkoa wangu haupo, cheti pia cha form four Sina dah si ningechangamkia hapo
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 Jan 8, 2026 #4 Hivi hii sio kama ya kusajiri laini kweli?
Mzee Rufiji JF-Expert Member Joined Aug 24, 2024 Posts 751 Reaction score 1,315 Apr 30, 2026 #5 Unaingia Kitaa kusajili wateja ambao wanataka kufungiwa faiba then unapeleka ripoti ofisi kwamba nimepata watu kiasi Fulani wanataka kufungiwa huduma. Wanakulipa kamisheni yako.
Unaingia Kitaa kusajili wateja ambao wanataka kufungiwa faiba then unapeleka ripoti ofisi kwamba nimepata watu kiasi Fulani wanataka kufungiwa huduma. Wanakulipa kamisheni yako.
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Apr 30, 2026 #6 Hiyo kazi nimeshafanya, ni ngumu ila kwa kijana mpambanaji usiache fursa. Kamisheni unapata
Mzee Rufiji JF-Expert Member Joined Aug 24, 2024 Posts 751 Reaction score 1,315 Apr 30, 2026 #7 Jerry001 said: Hiyo kazi nimeshafanya, ni ngumu ila kwa kijana mpambanaji usiache fursa. Kamisheni unapata Click to expand... Nakazia, ila inategemea na maeneo yakiwa mjini ambapo hakuna ushindani wa huduma ya faiba anaweza akaokota wateja wengi tu
Jerry001 said: Hiyo kazi nimeshafanya, ni ngumu ila kwa kijana mpambanaji usiache fursa. Kamisheni unapata Click to expand... Nakazia, ila inategemea na maeneo yakiwa mjini ambapo hakuna ushindani wa huduma ya faiba anaweza akaokota wateja wengi tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 30, 2026 #8 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Apr 30, 2026 #9 Tafuta buti kubwa,maana sio kwa kutembea huko juani
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 2,152 Reaction score 4,003 Jul 1, 2026 #10 Ukipata mteja ukisajili tuunalipwa Tsh 10,000 hapohapo tena keshiiiiii