Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

Unaingia Kitaa kusajili wateja ambao wanataka kufungiwa faiba then unapeleka ripoti ofisi kwamba nimepata watu kiasi Fulani wanataka kufungiwa huduma.

Wanakulipa kamisheni yako.
 
Hiyo kazi nimeshafanya, ni ngumu ila kwa kijana mpambanaji usiache fursa. Kamisheni unapata
 
Hiyo kazi nimeshafanya, ni ngumu ila kwa kijana mpambanaji usiache fursa. Kamisheni unapata
Nakazia, ila inategemea na maeneo yakiwa mjini ambapo hakuna ushindani wa huduma ya faiba anaweza akaokota wateja wengi tu
 
Tafuta buti kubwa,maana sio kwa kutembea huko juani
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…