Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.

Hahah!! ila fantansy nyingine buana...

Kwa hiyo kidume unakuwa utatongozwa sio
 
Hivi warumi alikuwa celebrity?
Hakuna sehemu yoyote ile niliyosema kuwa warumi alikuwa Celebrity, nimemuelekeza aende kwenye jukwaa la cerebrity kwakua ndio sehemu pekee ambayo Warumi aliwahi kujizolea umaarufu kwa nyuzi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…