babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Tayari kashajiunga sasa afahamishwe nini badala yeye ndo atufahamishe,Wabongo kwa kujump to conclusion hatujambo yani mleta mada kaomba kufahamu kuhusu hilo kampuni watu wanaanza kumtukana mala wajinga hawishi mara nini.
Kama kuna mtu nalifahamu vyema hilo kampuni si amjuze mana ndio hitaji la mleta mada.
#MaendeleoHayanaChama
Nmeishalia niliwekeza kwenye hyo salvation farm tokea mwaka Jana wameisha kimbia na hela zetu na Ni kampuni iliyosajiliwaUmewahi kusikia kampuni inayoitwa JATU PLC?
Hebu achana na hiyo kitu upepo bado unavuma vibaya utalia.
Kuna mtu unafaham alieingia nao mkataba unipe mawasiliano tukaifungulie mashtaka mahamani mkurugenzi kakimbianaifahamu vizuri sana aisee inahusika na kufanya kilimo, yaani kama una shamba wao kazi yao wanakuja wanafanya yote shambani hadi mavuno wanakukabidhi wewe unawapa chao. au kukodisha mashamba pia
Pole sana mkuu..ilikuaje ebu elezea vzr...je mliwashitaki mahakamani??Nmeishalia niliwekeza kwenye hyo salvation farm tokea mwaka Jana wameisha kimbia na hela zetu na Ni kampuni iliyosajiliwa
Ilikua mwaka gani mkuu make mm niliwekeza hela nyingi na mkurugenzi amekimbia ofisi zao hapa dar wamefungaMimi naifahamu na nilishawekezaga huko, yaani no changamoto sana kupata mazao au fedha. Mimi nilifunga safari hadi mbinga kufatilia mazao yangu, nilipata gunia zangu 10 za maharage lkn kwa kuteseka sana
Jamaa anajitekenya. Yaani ni huyo huyo mmoja. Anaandika comment kisha anajijibu kwa lengo la kuitangaza hiyo kampuni yao ya kitapeli.Wewe na mleta mada mmenikumbusha yale maandiko katika kitabu cha Luka 22:58 yasemayo "Baadaye kidogo mtu mwingine akamwona Petro, akasema, βWewe pia ni mmoja wao.β Petro akajibu, βBwana, mimi si mmoja wao!β
Ilivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na mkurugenzi hapo Tz ko wamekua wakinizungusha kipindi naingia mkataba niligongesha form zao kwa mwanasheria nmeenda kwake yeye anasema niende mahakamani hapa sielewi ndio nauliza Kuna mtu labda amewekeza ili tujue jinsi ya kudaiPole sana mkuu..ilikuaje ebu elezea vzr...je mliwashitaki mahakamani??
#MaendeleoHayanaChama
SanaImeishakufa hiyo mzee, wametupiga sana tu..wamepotea na hela..5M is gone
Kilimo ni kigumu Sana hakuna mtu anaweza fanya hivo akafanikiwaIlivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na mkurugenzi hapo Tz ko wamekua wakinizungusha kipindi naingia mkataba niligongesha form zao kwa mwanasheria nmeenda kwake yeye anasema niende mahakamani hapa sielewi ndio nauliza Kuna mtu labda amewekeza ili tujue jinsi ya kudai
Kwanini ukumuuliza vema aliyekupa Taarifa au unataka kuwapiga Tena watu humu Pesa?Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Hizo pesa za kesi Wasaidie ndugu zako wale krismasi vizuriKuna mtu unafaham alieingia nao mkataba unipe mawasiliano tukaifungulie mashtaka mahamani mkurugenzi kakimbia
Yaani! Majizi hua hayanaga aibu, gear alio ingia nayo nikama mwizi ananyatia anataka kujua kuna presha gani au kama kuna kolo afe nae #shubamitiKwanini ukumuuliza vema aliyekupa Taarifa au unataka kuwapiga Tena watu humu Pesa?
π€π€π€π kumekuchaHabari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
Mkurugenzi nasikia yupo gerezan alikamatwaKuna mtu unafaham alieingia nao mkataba unipe mawasiliano tukaifungulie mashtaka mahamani mkurugenzi kakimbia
Ccm ndio inapenda hvyoUnajua ni mambo ya ajabu yanayoshangaza na kuogofya. Kuna tatizo kubwa sana.
Yap.....Ccm ndio inapenda hvyo