Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

Wabongo kwa kujump to conclusion hatujambo yani mleta mada kaomba kufahamu kuhusu hilo kampuni watu wanaanza kumtukana mala wajinga hawishi mara nini.

Kama kuna mtu nalifahamu vyema hilo kampuni si amjuze mana ndio hitaji la mleta mada.

#MaendeleoHayanaChama
Tayari kashajiunga sasa afahamishwe nini badala yeye ndo atufahamishe,
Huyu mwehu tu
 
Umewahi kusikia kampuni inayoitwa JATU PLC?

Hebu achana na hiyo kitu upepo bado unavuma vibaya utalia.
Nmeishalia niliwekeza kwenye hyo salvation farm tokea mwaka Jana wameisha kimbia na hela zetu na Ni kampuni iliyosajiliwa
 
naifahamu vizuri sana aisee inahusika na kufanya kilimo, yaani kama una shamba wao kazi yao wanakuja wanafanya yote shambani hadi mavuno wanakukabidhi wewe unawapa chao. au kukodisha mashamba pia
Kuna mtu unafaham alieingia nao mkataba unipe mawasiliano tukaifungulie mashtaka mahamani mkurugenzi kakimbia
 
Nmeishalia niliwekeza kwenye hyo salvation farm tokea mwaka Jana wameisha kimbia na hela zetu na Ni kampuni iliyosajiliwa
Pole sana mkuu..ilikuaje ebu elezea vzr...je mliwashitaki mahakamani??

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi naifahamu na nilishawekezaga huko, yaani no changamoto sana kupata mazao au fedha. Mimi nilifunga safari hadi mbinga kufatilia mazao yangu, nilipata gunia zangu 10 za maharage lkn kwa kuteseka sana
Ilikua mwaka gani mkuu make mm niliwekeza hela nyingi na mkurugenzi amekimbia ofisi zao hapa dar wamefunga
 
Wewe na mleta mada mmenikumbusha yale maandiko katika kitabu cha Luka 22:58 yasemayo "Baadaye kidogo mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe pia ni mmoja wao.” Petro akajibu, “Bwana, mimi si mmoja wao!”
Jamaa anajitekenya. Yaani ni huyo huyo mmoja. Anaandika comment kisha anajijibu kwa lengo la kuitangaza hiyo kampuni yao ya kitapeli.
 
Pole sana mkuu..ilikuaje ebu elezea vzr...je mliwashitaki mahakamani??

#MaendeleoHayanaChama
Ilivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na mkurugenzi hapo Tz ko wamekua wakinizungusha kipindi naingia mkataba niligongesha form zao kwa mwanasheria nmeenda kwake yeye anasema niende mahakamani hapa sielewi ndio nauliza Kuna mtu labda amewekeza ili tujue jinsi ya kudai
 
Kilimo ni kigumu Sana hakuna mtu anaweza fanya hivo akafanikiwa
 
Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Kwanini ukumuuliza vema aliyekupa Taarifa au unataka kuwapiga Tena watu humu Pesa?
 
Kwanini ukumuuliza vema aliyekupa Taarifa au unataka kuwapiga Tena watu humu Pesa?
Yaani! Majizi hua hayanaga aibu, gear alio ingia nayo nikama mwizi ananyatia anataka kujua kuna presha gani au kama kuna kolo afe nae #shubamiti
 
Hivi nyie watz mnamatatizo gani, kila siku mara Kalynda , mara Qnet, mara Mr.Kuku...; hamchoki kutapeliwa kila siku? Yaana utapeli wa Kalynda haujaisha mnataka kuanzisha mwingine...
 
Back
Top Bottom