Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

Nyanokwe96

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
22
Reaction score
12
Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
 
Hivi unavyoona Hilo jina nani analijua? Ndo wamekutuma? Si ufunguke tu utueleze kama na wao Wana download pesa au
Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
 
Umewahi kusikia kampuni inayoitwa JATU PLC?

Hebu achana na hiyo kitu upepo bado unavuma vibaya utalia.
 
naifahamu vizuri sana aisee inahusika na kufanya kilimo, yaani kama una shamba wao kazi yao wanakuja wanafanya yote shambani hadi mavuno wanakukabidhi wewe unawapa chao. au kukodisha mashamba pia
 
Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Muulize huyu mawardat nadhan yupo mbinga huko aifuatilie vzuri Kama ndio akina Mr kuku chatu(JATU) nk

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
naifahamu vizuri sana aisee inahusika na kufanya kilimo, yaani kama una shamba wao kazi yao wanakuja wanafanya yote shambani hadi mavuno wanakukabidhi wewe unawapa chao. au kukodisha mashamba pia
Wewe na mleta mada mmenikumbusha yale maandiko katika kitabu cha Luka 22:58 yasemayo "Baadaye kidogo mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe pia ni mmoja wao.” Petro akajibu, “Bwana, mimi si mmoja wao!”
 
Back
Top Bottom