Nyanokwe96
Member
- Jul 26, 2022
- 22
- 12
Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu sema vizuri, kuwekeza kwa namna gani? au ni zile kampuni za ku-download fedha?Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekezaHivi unavyoona Hilo jina nani analijua? Ndo wamekutuma? Si ufunguke tu utueleze kama na wao Wana download pesa au
Umewahi kusikia kampuni inayoitwa JATU PLC?Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
ndiyo 'kudanlodi' kwenyewe hukoNi kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
NA NDIO MAANA CCM INASHINDA KILA UCHAGUZINchi imejaa mazuzu sana hii.
Muulize huyu mawardat nadhan yupo mbinga huko aifuatilie vzuri Kama ndio akina Mr kuku chatu(JATU) nkNi kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Tayari jiandae na Uzi was kutapeliwa..Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Hivi kwanini wajjinga hawaishi? Why hamuerevukiNi kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
NimechekaaaHii nchi raia wake wanapaswa kufanyiwa uchunguzi. Hivi kweli bado kuna watu wanashawishika na haya mambo?
Unajua ni mambo ya ajabu yanayoshangaza na kuogofya. Kuna tatizo kubwa sana.Nimechekaaa
Wewe na mleta mada mmenikumbusha yale maandiko katika kitabu cha Luka 22:58 yasemayo "Baadaye kidogo mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe pia ni mmoja wao.” Petro akajibu, “Bwana, mimi si mmoja wao!”naifahamu vizuri sana aisee inahusika na kufanya kilimo, yaani kama una shamba wao kazi yao wanakuja wanafanya yote shambani hadi mavuno wanakukabidhi wewe unawapa chao. au kukodisha mashamba pia
Tatizo wajinga wanazaliwa kila siku, wajinga hawawezi kuisha na wanakua ni mtaji kwa hao wapigaji.Hii nchi raia wake wanapaswa kufanyiwa uchunguzi. Hivi kweli bado kuna watu wanashawishika na haya mambo?