Kuna anayemuelewa GENTA

Ungemfata PM tu, kuliko kuzunguka zunguka
 
Jamii Forum imekua jukwaa la watu wanaopenda kulia lia na kufuatilia maisha yasiyowahusu, kutafuta umaarufu kwa kugombana na wengine.

Mtu akijua kila kitu inakupunguzia nini?
 
Uko tayari Kwa mashambulizi yake lakini? Usijekusema hatujakutahadharisha.

Sasa unataka umwelewe kitu Gani zaidi ya kusoma anachoandika ambacho nacho sio lazima usome au kutia neno?
Nyie ndo mnamuogopa hana lolote yule.
 
Sasa mtu akikupangia maisha si ni wewe tu na maamuzi yako kama ukubali kupangwa ama ukatae

Kama unaona ni ngumu,muweke kwenye ignore list...maisha ya humu sio magumu sana
Usinipangie maisha hii jf ya wote mama.

Au mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…