Kuna anayemuelewa GENTA

Wanawake mkianza kujali mambo ya msingi ktk jamii zetu ,naamini mashoga na wasagaji hawatakua na nafac ktk jamii zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Khaaaaaa!! Labda alimwambia kishkaji km ana pesa amsaidie bana
Ule uombaji hapana... mimi nina mtindo wa kumchunguza mtu comments na post zake, nikimuona ana uwalakini simuelewielewi namlipua FASTA!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Piem kuna mbwa mkali
Wanawake mlijaaliwa huruma ndomana mnazaa... mnaweza kuvumilia kubeba mzigo wa toto lisilosikia tumboni zaidi ya miezi 9... maana wapo wanaopitilizaga muda, sembuse kunihurumia HOHEHAHE mie kunifungilia Piemu mtoto wa mwenzio tuyajege... kah! Usiwe hivyo Cutie πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka tuyajenge nini??
 
Kwanini Kujua kila kitu ni tatizo? Inategemea na wewe unajichanganya vipi na Jamii
 
Wanawake mkianza kujali mambo ya msingi ktk jamii zetu ,naamini mashoga na wasagaji hawatakua na nafac ktk jamii zetu
Hebu nielekeze ni kwa namna ipi mwanamke anahusika na ushoga
 
😍😍😍
 
Mr Twaha Bigirimana toka kitongoji cha Ruyenze, Jamhuri ya Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…