RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Wanawake mkianza kujali mambo ya msingi ktk jamii zetu ,naamini mashoga na wasagaji hawatakua na nafac ktk jamii zetuHuwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?
Mfano mleta mada, huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso
Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list