Kuna anayemuelewa GENTA

Kuna anayemuelewa GENTA

Huwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?

Mfano mleta mada, huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso

Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list
Wanawake mkianza kujali mambo ya msingi ktk jamii zetu ,naamini mashoga na wasagaji hawatakua na nafac ktk jamii zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Khaaaaaa!! Labda alimwambia kishkaji km ana pesa amsaidie bana
Ule uombaji hapana... mimi nina mtindo wa kumchunguza mtu comments na post zake, nikimuona ana uwalakini simuelewielewi namlipua FASTA!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Piem kuna mbwa mkali
Wanawake mlijaaliwa huruma ndomana mnazaa... mnaweza kuvumilia kubeba mzigo wa toto lisilosikia tumboni zaidi ya miezi 9... maana wapo wanaopitilizaga muda, sembuse kunihurumia HOHEHAHE mie kunifungilia Piemu mtoto wa mwenzio tuyajege... kah! Usiwe hivyo Cutie 🥺🥺🥺😭
 
Wanawake mlijaaliwa huruma ndomana mnazaa... mnaweza kuvumilia kubeba mzigo wa toto lisilosikia tumboni zaidi ya miezi 9... maana wapo wanaopitilizaga muda, sembuse kunihurumia HOHEHAHE mie kunifungilia Piemu mtoto wa mwenzio tuyajege... kah! Usiwe hivyo Cutie [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka tuyajenge nini??
 
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

  • Michezo
  • Mapenzi
  • Siasa
  • Mziki
  • Usalama
  • Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
  • Chakula na mapishi
  • Urembo

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
Kwanini Kujua kila kitu ni tatizo? Inategemea na wewe unajichanganya vipi na Jamii
 
Wanawake mkianza kujali mambo ya msingi ktk jamii zetu ,naamini mashoga na wasagaji hawatakua na nafac ktk jamii zetu
Hebu nielekeze ni kwa namna ipi mwanamke anahusika na ushoga
 
Huwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?

Mfano mleta mada, huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso

Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list
😍😍😍
 
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

  • Michezo
  • Mapenzi
  • Siasa
  • Mziki
  • Usalama
  • Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
  • Chakula na mapishi
  • Urembo

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
Mr Twaha Bigirimana toka kitongoji cha Ruyenze, Jamhuri ya Rwanda
 
Back
Top Bottom