Hii wala haijakaa kusifia nataka kuwasanua hawa watu wanaochukulia mambo simple, mambo hayako kirahisi hivyo kama wanavyodhaniMbona kama unamsifia shetani,hata kama ni kweli ndo kumpigia chapuo hivo? Nimekustukia.
Shetani ni kiumbe wa kufikirika na kuaminika,,ukitaka kutomfikiria na kutoamini uwepo wake hatakuwepo, na kinyume chake utaamini uwepo wake na atakusumbua,,,lakini kiukweli kinachokusumbua ni fikra zako za kimapokeo.Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea
Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na huna chakufanya
Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama
Umri
Uzao
Nguvu
Cheo
Akili
Kifo
Umri
Binadamu wote kwanzia wa kwanza hakuna mwenye umri wake au anayekaribia umri wake
Katika swala la umri inatupasa tuogope kabisa kwasababu ni vigumu kushindana na Mwanajeshi aliyekuzidi umri anayofahamu yeye ni sawa na trillions za siri, wewe huna unachokijua
Uzao
Binadamu wote wanatoka kwenye matumbo ya mama zao yeye hakuzaliwa
Uliyetoka kwenye tumbo la mama yako unathubutu kunyooshea jua kidole lazima litakuchoma
Nguvu
Hakuna binadamu mwenye nguvu yeyote ya kumfanya Shetani angalao tu amtazame, anachokiona yeye mbele zake ni sawa na nzi
Ana uwezo wa kugeuza dunia ikageukia chini bahari ikakaa juu
Wewe binadamu unaweza kufanya hivyo?
Akili
Kamwe huwezi kuzungumzia akili za Shetani kwasababu ni za kiwango kisichopimika
Binadamu ndiye mshenzi ana akili za kipuuzi ndiyo maana anaua wenzake, anafirana kwasababu amejaa mavi akilini
Wajinga kama hawa ndio wanaothubutu kunyooshea Shetani kidole
Cheo
Hakuna mdudu binadamu mwenye Cheo cha Shetani
Yeye anakaa na Mungu meza moja wanazungumza mambo mengi, wewe uliwahi kukaa na Mungu meza moja mkazungumza??
Kifo
Binadamu wote wanazaliwa na kufa huo ndio utaratibu
Yeye alizaliwa wapi na ulishawahi kumsikia amekufa??
Watu ndio wanakufa wanamwacha
Wamekuja mitume wengi, ukianza na Yesu ameondoka kwa kifo, amekuja Mtume Muhammad vivyo hivyo
Kwa haya machache niliyo orodhesha hapa tunapaswa kukimbia na kuogopa kabisa kufanya masihara na Shetani
Yeye ni Tembo siku zote itakayokanyagwa ni nyasi
Unapata wapi kiburi cha kupambana na kitu ambacho wewe ndiye utakayekufa na kubaki mifupa atakayebaki ni yeye???
Yaani hata umri wameshindwa kutazama wamepishana kiasi ganiWatu wanamchukulia poa Shetani. Wengine wanamtukana. Shetani ni "mtu" mkubwa sana. Hata kama hukubaliani naye fanya kumheshimu😂
Habari zake tu tayari zimeshatuchanganya bado mtu anafanya masiharaShetani ni kiumbe wa kufikirika na kuaminika,,ukitaka kutomfikiria na kutoamini uwepo wake hatakuwepo, na kinyume chake utaamini uwepo wake na atakusumbua,,,lakini kiukweli kinachokusumbua ni fikra zako za kimapokeo.
Na mwingine anamtukana eti yeye na mama mkwe wake wamekalia misumari. Wengine humfokea na kumkemea wakati wa kuomba.Yaani hata umri wameshindwa kutazama wamepishana kiasi gani
Mtu anazaliwa mwaka wa kwanza BC kabla ya Kristo
Yeye ameshakuwepo trillions za miaka
Mtu umezaliwa 19.. unathubutu kumnyooshea kidole
Yule aliyeimba ndiye atakayekufa lakini sio Shetani na hilo la kifo wala hajalionaNa mwingine anamtukana eti yeye na mama mkwe wake wamekalia misumari. Wengine humfokea ma kumkemea wakati wa kuomba.
Kama una yesu kristo na roho mtakatifu utamnyooshea kidole na hatakugusaNa mwingine anamtukana eti yeye na mama mkwe wake wamekalia misumari. Wengine humfokea na kumkemea wakati wa kuomba.
😅😅 dah jamaa wanamchokoza wenyeweNa mwingine anamtukana eti yeye na mama mkwe wake wamekalia misumari
Unajua ni mzito sana kiasi kwamba Yesu mfupa ulimshinda kutafuna ingawa Yesu hakuwahi kutamka ameshindwa ila kama ni Moto aliuonaKama una yesu kristo na roho mtakatifu utamnyooshea kidole na hatakugusa
Sawa. Ila iwe kwa ustaarabu. Tuheshimu watu wazima.Kama una yesu kristo na roho mtakatifu utamnyooshea kidole na hatakugusa
Kwakweli ni hatari sana kwasababu kama ni mateso mitume walipata ni mateso kweli kweli wakati wakiwa kwenye mapambano ingawa hawajataka kusema ukweli kwamba waliteseka sana mpaka mwisho kifo kinawamchukuaKama unaamini shetani yupo naamni pia unaamini uwepo wa Mungu, japo binadamu tumepewa uwezo mkubwa na akili nyingi kuliko shetani lkn huyu ni heavyweight adui wanaomshinda ni wachache sana labda 2 in 1,00,000.
Kushinda kanisani au msikitini hakukufanyi umshinde shetani kama matendo yako mabaya na Imani dhaifu sahau.
Mtu mfiraji, mzinifu, mwizi, msengenyaji, muuaji na amri kumi zote za Mungu unapindisha, ufati sheria za Mungu na makatazo jua we ni hekalu la shetani
Kwamantiki hii Kwa duniani ya Sasa hata kale ni wachache sana waliojaribiwa na shetani na wakashinda