Binadamu Anacheo kikubwa
Kuliko Shetani
Baada ya Mungu
Mungu kwa upendo wake akatuumba
Kwa Mfano Wake
Shetani amejaa wivu kuona Binadamu amepewa nafasi kubwa na kuumbwa Kwa Mfano Wa Mungu
Ni wewe Tu ukiamua
Atahukumiwa siku ya Mwisho
Alimnyang’anya shetani funguo za mamlaka akatuachia sisi
Mstari unaosema tumepewa mamlaka ni:
Luka 10:19
"Tazama, nimewapa ninyi mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu juu ya adui yote, wala hakuna kitu kitakachowadhuru."
Yesu alikuwa anazungumza na wanafunzi wake, akiwahakikishia kuwa wamepewa mamlaka ya kiroho dhidi ya nguvu za giza.
Alifufuka siku ya Tatu
Aliyeshinda mauti
Akapaa akaenda Mbinguni kwa Mungu Baba
Kwa Sababu Nipo na Mungu
Na Mungu akikaa ndani yangu
Hakuna Adui atakayenishinda
Mungu akiwa pamoja na Mimi
Yakobo 4:7
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia."