Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
- Thread starter
- #61
Utaratibu si ule ule, kwani si walikuja mitume wengine wengi, mwingine akapigwa mawe mpaka kufa, mwingine akapata ugonjwa wa tauniNdiyo maana hawezi kurudi Tena. 🤣
Anajua akirudi Tena basi ile kuwekwa msalabani ni Cha mtoto 🤣
Kwahiyo utaratibu ni ule ule aliyekotayari kuzichapa yeye atangaze tu vita wenye kazi watampokea vizuri