Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

Kwakweli ni mzito sana kwasababu kama ni mateso Yesu alipata ni mateso kweli kweli wakati akiwa kwenye mapambano ingawa hajataka kusema ukweli kwamba aliteseka sana mpaka mwisho kifo kinamchukua
Ndo hapo nashangaa kama yesu na utakatifu wake alihenyeka sisi tunaoshinda tu kanisani na misikitin na kujinadi nimemshinda shetani huo ujasiri tunatoa wapi?
 
Hapana, maana yangu sio kusifia nataka kuonesha watu tofauti ambazo ni za ukweli 💯 na mtu yeyote anayezipuuzia huwa zina mkosti vibaya sana
Ukweli ni kwamba Yesu hajataka kuongea sana ila kama ni moto aliuona
Unadhani kwanini Mt Petro alimkana Yesu mara tatu??
Kuna moto Shetani aliuwasha Petro akasema nimekwisha, namna ya kupona wacha nimkane Yesu
 
Yesu alishinda kifo usipotoshe.
 
Ni kweli kabisa Shetani ni bonge moja la Character(Villain)kwenye movies za KIIMANI
 
Yesu alishinda kifo usipotoshe.
Ifafanue vizuri imekaa hewani, lakini tunachojua pambano lile lilimpelekea kufa na hii ndio tofauti kubwa kwamba binadamu anakufa ila Shetani hafi
Yesu hakutaka kuongea kila kitu ila kama ni tabu alipata
Walimdanganya apambane na Shetani moto ukawaka mpaka Petro akakimbia na akamkana
 
Lakini Shetani si alikwisha maliza kazi yake ya kuhakikisha anamkamata kisha akampa kifinyo hadi akaanza kulia kama mtoto kabla hajamuua?

Hiyo habari ya kufufuana sio shughuli zake
Kwa hapa tayari tukaona tofauti ya Shetani na binadamu kwenye kifo kwamba binadamu hilo ni janga lakini kwake halimhusu
 
Mimi binafs sina bifu na Shetani, Mungu na Shetani wakae tu wamalize tofaut zao mimi siwez ingilia vita ya watu wazito nitakua kituko kama Tulia akivojarb kutatua vita ya Putin na Zelensky.
 
Mimi binafs sina bifu na Shetani, Mungu na Shetani wakae tu wamalize tofaut zao mimi siwez ingilia vita ya watu wazito nitakua kituko kama Tulia akivojarb kutatua vita ya Putin na Zelensky.
Hapo umefanikiwa mkuu, we mjanja sana, wanaodanganywa wazichape wanamalizwa wote kwanzia mitume
 
Sio wachache ni hakuna kabisa acha kuremba mwandko. Nani wa kutoboa mbele ya Sheikhtwan akiamua kukaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…