Yesu alidanganywa aingie kwenye pambano kila mtu anajua kilichotokeaSio wachache ni hakuna kabisa acha kuremba mwandko. Nani wa kutoboa mbele ya Sheikhtwan akiamua kukaza?
Kila mtu anajua kilochomkuta na mpaka leo katuachia maombolezo/pasaka na mifungo juu, nashangaa wanajisahaulisha...Yesu alidanganywa aingie kwenye pambano kila mtu anajua kilichotokea
Leo hii mtu udanganywe tena urudie makosa yale yale wajanja wamekimbia ndio maana siku hizi hakuna tena mitume
Binadamu Anacheo kikubwaHakuna binadamu mwenye nguvu yeyote ya kumfanya Shetani
Ni wewe Tu ukiamuawewe uliwahi kukaa na Mungu meza moja mkazungumza??
Atahukumiwa siku ya MwishoYeye alizaliwa wapi na ulishawahi kumsikia amekufa??
Alimnyang’anya shetani funguo za mamlaka akatuachia sisiukianza na Yesu ameondoka kwa kifo
Kwa Sababu Nipo na MunguUnapata wapi kiburi cha kupambana na kitu ambacho wewe ndiye utakayekufa na kubaki mifupa atakayebaki ni yeye???
Hawakumbuki, na bado wakaja wengine mitume kibao wakala za uso, wengine walipigwa mawe na wengine wakafa kwa magonjwa ya ajabu mfano tauniKila mtu anajua kilochomkuta na mpaka leo katuachia maombolezo/pasaka na mifungo juu, nashangaa wanajisahaulisha...
Mungu ndio wakuogopwaMbona kama unamsifia shetani,hata kama ni kweli ndo kumpigia chapuo hivo? Nimekustukia.
Mheshimiwa tatizo ni kwamba mpaka Mungu akae ndani ya mtu roho yake itakuwa safi kiasi gani hapa ndipo mtihani ulipoBinadamu Anacheo kikubwa
Kuliko Shetani
Baada ya Mungu
Mungu kwa upendo wake akatuumba
Kwa Mfano Wake
Shetani amejaa wivu kuona Binadamu amepewa nafasi kubwa na kuumbwa Kwa Mfano Wa Mungu
Ni wewe Tu ukiamua
Atahukumiwa siku ya Mwisho
Alimnyang’anya shetani funguo za mamlaka akatuachia sisi
Mstari unaosema tumepewa mamlaka ni:
Luka 10:19
"Tazama, nimewapa ninyi mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu juu ya adui yote, wala hakuna kitu kitakachowadhuru."
Yesu alikuwa anazungumza na wanafunzi wake, akiwahakikishia kuwa wamepewa mamlaka ya kiroho dhidi ya nguvu za giza.
Alifufuka siku ya Tatu
Aliyeshinda mauti
Akapaa akaenda Mbinguni kwa Mungu Baba
Kwa Sababu Nipo na Mungu
Na Mungu akikaa ndani yangu
Hakuna Adui atakayenishinda
Mungu akiwa pamoja na Mimi
Yakobo 4:7
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia."
Mheshimu MunguWatu wanamchukulia poa Shetani. Wengine wanamtukana. Shetani ni "mtu" mkubwa sana. Hata kama hukubaliani naye fanya kumheshimu😂
Je unafahamu kuwa kanuni za Mungu ni ngumu sanaMheshimu Mungu
Sio shetani
Si uneona alisave kwa kipindi kile angepita mle mle asingening'inizwa mwishoni.Hawakumbuki, na bado wakaja wengine mitume kibao wakala za uso, wengine walipigwa mawe na wengine wakafa kwa magonjwa ya ajabu mfano tauni
Mtakatifu Petro moto ulipowaka sana akaona amkane Yesu umwakie mwenyewe kwasababu yeye ndiye aliuwasha
Mm sikujui Lakn najua hauna matendo yoyote mema mpaka shetani umshinde na amri kumi najua utimizi zote ushavunja karibia nusu yake, Sasa huo usaf wa kupambana NAE unaupata wapi?Binadamu Anacheo kikubwa
Kuliko Shetani
Baada ya Mungu
Mungu kwa upendo wake akatuumba
Kwa Mfano Wake
Shetani amejaa wivu kuona Binadamu amepewa nafasi kubwa na kuumbwa Kwa Mfano Wa Mungu
Ni wewe Tu ukiamua
Atahukumiwa siku ya Mwisho
Alimnyang’anya shetani funguo za mamlaka akatuachia sisi
Mstari unaosema tumepewa mamlaka ni:
Luka 10:19
"Tazama, nimewapa ninyi mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu juu ya adui yote, wala hakuna kitu kitakachowadhuru."
Yesu alikuwa anazungumza na wanafunzi wake, akiwahakikishia kuwa wamepewa mamlaka ya kiroho dhidi ya nguvu za giza.
Alifufuka siku ya Tatu
Aliyeshinda mauti
Akapaa akaenda Mbinguni kwa Mungu Baba
Kwa Sababu Nipo na Mungu
Na Mungu akikaa ndani yangu
Hakuna Adui atakayenishinda
Mungu akiwa pamoja na Mimi
Yakobo 4:7
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia."
Hapana, wala sivyo, maana yangu sio kusifiaHizi ni dalili za kuonyesha
Shetani anatumia Ufahamu Wako
Sio kwa mwendo huu wakumsifia
Na kumuogopa
Shetani hutumia mbinu nyingi ili watu wamuogope
Na ukiogopa
Kama wewe ni mtu wa Rohoni utajua
Madhara yake
Kuna level ukifika hutakiwi kuogopa chochote
Na bado kuna waliofungiwa
Wasije wakaharibu ulimwengu
Watahukumiwa na Mungu
Hapa ndipo pazito binadamu sisi sio wasafiMm sikujui Lakn najua hauna matendo yoyote mema mpaka shetani umshinde na amri kumi najua utimizi zote ushavunja karibia nusu yake, Sasa huo usaf wa kupambana NAE unaupata wapi?
Uko sahihi kwasababu sisi sote ni Mashahidi kwenye mtanange wa Yesu ulikuwa mzito kweli mpaka Petro akakimbia akaona namna ya kupona amkane YesuShetani sio wa kumchukulia poa 😂
Mimi nakushauri waheshimu wote mkuu!MUOGOPE MUNGU KULIKO SHETANI
HOFU YA SHETANI ANAPATA NAFASI YA KUKUSHAMBULIA
Ndiyo maana hawezi kurudi Tena. 🤣Hapa ndipo pazito binadamu sisi sio wasafi
Yesu pamoja na usafi wake hakuna mateso ambayo hajaacha kuona
Mungu yeye anatazame Show manake anatazama namna vyombo vyake zinazichapa na anagundua nani dhaifu na mshindiMungu huwaongeza nguvu wanadamu katika ulimwengu wa roho. Hivyo, wapo wanadamu wenye nguvu kuliko shetani ila pengine hawajui jinsi ya kuzitumia.