Utaratibu si ule ule, kwani si walikuja mitume wengine wengi, mwingine akapigwa mawe mpaka kufa, mwingine akapata ugonjwa wa tauniNdiyo maana hawezi kurudi Tena. 🤣
Anajua akirudi Tena basi ile kuwekwa msalabani ni Cha mtoto 🤣
Yaani uwe na akili kumzidi shetani!!Kama unaamini shetani yupo naamni pia unaamini uwepo wa Mungu, japo binadamu tumepewa uwezo mkubwa na akili nyingi kuliko shetani lkn huyu ni heavyweight adui wanaomshinda ni wachache sana labda 2 in 1,00,000.
Kushinda kanisani au msikitini hakukufanyi umshinde shetani kama matendo yako mabaya na Imani dhaifu sahau.
Mtu mfiraji, mzinifu, mwizi, msengenyaji, muuaji na amri kumi zote za Mungu unapindisha, ufati sheria za Mungu na makatazo jua we ni hekalu la shetani
Kwamantiki hii Kwa duniani ya Sasa hata kale ni wachache sana waliojaribiwa na shetani na wakashinda
HakunaJe unafahamu kuwa kanuni za Mungu ni ngumu sana
Nianze na moja, anakwambia ili akupende hakikisha unagawa mali zako zote uwape masikini kisha umfwate
Nani anayeweza
Zipo nyingi sana pamoja na amri zake
Mwisho tunagundua kuwa hatuna utakatifu zaidi ya kutenda maovu ya kuumiza wenzetu
Akili kubwaShetani ni kiumbe wa kufikirika na kuaminika,,ukitaka kutomfikiria na kutoamini uwepo wake hatakuwepo, na kinyume chake utaamini uwepo wake na atakusumbua,,,lakini kiukweli kinachokusumbua ni fikra zako za kimapokeo.
Mheshimiwa tatizo ni kwamba mpaka Mungu akae ndani ya mtu roho yake itakuwa safi kiasi gani hapa ndipo mtihani ulipo
Fikia lengoAmri 10 za Mungu mpaka leo zimekuwa kitendawili na yale ndiyo masharti ya Mungu yapo na mengine
Mfano kama wewe una utajiri, ugawie watu utajiri wako wote umfwate yeye
Nani anayeweza??
🚮🚮🚮Fikia lengo
Ukishakuwa na Roho wa Mungu atakupa muongozo
Kwa akili za mtu ataona ni ngumu
Tu na hata kama bado mtu hatimizi
Roho anakusaidia kukupa muongozo
shida ya watu kutafuta visingizioMm sikujui Lakn najua hauna matendo yoyote mema mpaka shetani umshinde na amri kumi najua utimizi zote ushavunja karibia nusu yake, Sasa huo usaf wa kupambana NAE unaupata wapi?
SawaHapana, wala sivyo, maana yangu sio kusifia
Maana yangu nataka kuonesha tofauti kati yake na sisi
Na tofauti hizi zinafanya kazi 💯
Kila aliyepuuza ameumia vibaya sana
Taratibu za Mungu si nyepesi hasa ukisoma agano la kaleshida ya watu kutafuta visingizio
Ili wasifikie lengo
Je unaamini kwanza kwamba unaweza ukamshinda?
Kama huamini kwanza basi visingizio vitakuwa vingi