Kuna baadhi ya graduates wanaomba connection ukiwapa wanakuangusha

Sasa unatafuta kazi ya nini wakati mtaani unapiga ishu za ela kubwa, si uongeze juhudi hukohuko ulipo kuliko kupoteza muda kusaka ajira.
Ela niliyokuwa nimewatajia ilikuwa pesa nzuri na yule mama wa kizungu alionekana yuko okay with it. Na aliahidi itasaidia kukuza career yangu kwa sababu kwa afrika ndipo wanaingia, pia ilionekana nitakwua na muda wa kuendeleza nilichokuwa ninafanya.
Sasa nilivyotumiwa offer na huyo dada wa kikenya, wkanza ilikuwa inasema nitakwua nataoka kazini saa mbili usiku kama kazi ni nyingi na hakuna malipo ya overtime. Pili kama kazi zikizidi itabidi niende ofisini hadi weekend na wala silipwi overtime, bado mshahara ukawa kiduchu offer haikuwa hata robo ya ela niliyotaja. nikaona isiwe tabu nikaachana nayo.
 
Kudadeki, walikuchuliaje kwani mzee??
Mikazi yote hiyo ulipwe laki tatu? Na makato yetu si laki mbili hiyo
 
Kudadeki, walikuchuliaje kwani mzee??
Mikazi yote hiyo ulipwe laki tatu? Na makato yetu si laki mbili hiyo
Shida ni kwamba kampuni ile ya hao wazungu haiikutaka kufungua ofisi tanzania, so wakaingia mkataba na kampuni fulani ya kenya ndiyo ilicruit watu, kuwatrain na kuwaajiri, hiyo kampuni ya kenya haina kibali cha kufanya kazi TZ nayo ikatafuta kampuni nyingine ya TZ inayodeal na mambo ya huduma za HR. So hapo unaweza kuelewa pesa ilikuwa inapigwa panga mara ngapi.
 
Ukiona hivyo Cha kufanya anacho Bado na pia Hana majukumu
 
Anadeka huyo Nipe mimi sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… niende zangu Songea
 
Hizi chain of command ndo zinaletaga tabu hasa hapo kati aingie muafrica.
 
Hizi chain of command ndo zinaletaga tabu hasa hapo kati aingie muafrica.
Kabisa mkuu halafu kwenye mkataba wao waliweka kipengele kuwa mkataba/ofa waliyokutumia huwezi kuishare na wale wazungu.
Hapo nikajua kabisa hapa nacholipwa na wale wanachodhani nalipwa ni vitu viwili tofauti. Nikasema hapana ngoja niendelee na mishe zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…