Kuna baadhi ya graduates wanaomba connection ukiwapa wanakuangusha

Hivi hiyo huwa inakuaje, hao jamaa huwa wanaficha vipi details mpaka hao wazungu wanakua hawajui ninyi mnalipwa vipi.

Hii ipo sana bongo.
 
Hivi hiyo huwa inakuaje, hao jamaa huwa wanaficha vipi details mpaka hao wazungu wanakua hawajui ninyi mnalipwa vipi.

Hii ipo sana bongo.
Ofa yao ilikuwa na hicho kipengele, nilitaka kumtumia msg yule mzungu maana nilikuwa na email yake na pia yeye ndiye alinifuataga linkedin, so alikuwa kati ya watu ambao nimeconnect nao. Ila baadaye nikaamua niache tu.
Ila walipata watu walikuwa wanataka watu 15 wakawa wanawalipa 720k kwa mkataba wa miaka miwili japo baadaye baada ya miaka miwili waliwaongeza maslahi at least now si mabaya.
 
Kwani brother kumsaidia mtu ndo unataka mpaka asiwe na maamuzi yake binafsi kama binadamu!!!
 
Wewe ndo mpuuzi, yaani aache mΓ mbo yake sababu ya mshahara laki 5? Watu wengine mna matatizo upstairs.
 
hyo nafas kama bado iko waz tafadhali nipasie.


ungenipasia hii nafas ndugu yangu. sku zote tunahangaika kumbe ndugu yangu una makonnection mpaka unayakataa,,,, sjapenfa kabisa bro,,

its me copier.
Anhaa kijana zikitokea humu omba tu, huwez jua. Mm nowadays niko unguja huku napiga mishe ndogo ndogo hela ya kula inapatikana alhamdulilah n sina mpango wa kurudi dar within 5 or 4 years to come
 
Nishawahi kupata kazi humu kama supervisor wa program fulani hiv ya wiki 2 nikapata laki 3 na nyie mpo tu
Hatari sana ila mimi nishwahi kumpatia mtu kazi humu ya uhasibu yenye mshahara mnono alipost mtu fulani nikachukua na kumtumia jamaa. akaitwa kwa interview akawa anahisi jamaa aliyepost namjua basi akawa ananisumbua muulize vipi ntapata kweli, mimi namcheki jamaa pm anajibu mwambie asiwe na wasi nami namweleza. na kweli akapata tena ilikuwa kampuni kubwa kweli. Ila ilifungwa kipindi cha magu na jamaa sasa hivi ni afisa mkubwa TRA sijui alifikaje.
 
Omba hata wewe ikitokea mana kazi kubwa ziko mikonon mwa watu wenye kaz ndogo usizotaka. Mm natoaga sana kazi za ulinzi humu watu wengine wanadharau il kuna jamaa serious walipataga hum wanapokea 350 na wengine wanalipwa 400 walipataga kaz nyingine kabisa wakiwa unguja ambapo alikuja kuanza na ulinzi wa 180
 
Anhaa kijana zikitokea humu omba tu, huwez jua. Mm nowadays niko unguja huku napiga mishe ndogo ndogo hela ya kula inapatikana alhamdulilah n sina mpango wa kurudi dar within 5 or 4 years to come
Nipe ramani za huko wewe jamaa ,natamani nikupigie simu Ila najikuta nakuogopa ,maana nyie watoto wa manzese lolote linawezekana .
Nisije dakwa Kama kumbikumbi bure.
 
Mkuu kwa sasa mimi kuomba kazi si rahisi mambo ninayofanya yananilipa ela nzuri so nimestick nayo unless nipate kazi yenye ela ndefu sana inayoweza kunishawishi kuacha mambo yangu nayofanya mwenyewe. Ndiyo maana nikiona kazi humu huwa naziforward kwa watu mara nyingi badala ya mimi kuomba mwenyewe.
Sema jf imewatoa watu wengi sana. Ni kisima cha manufaa.
 
Huku mishe za kuunga unga zipo mkuu muhimu kujitoa tu, mm nowadays ni gardener tu. Mana ninataka nikuze skills zinazomatch na mambo ya hoteli niweke mizizi hapa. Una interest ya ishu gan mzee
Mimi naulizia issue za kuinvest bro ,kuhusu kuwa gardener Safi Kaka pambana kikubwa mkono uende kinywani .
 
...ungemwaga mboga, ungewachana hao wazungu kama mbwai na iwe.
 
Huku mishe za kuunga unga zipo mkuu muhimu kujitoa tu, mm nowadays ni gardener tu. Mana ninataka nikuze skills zinazomatch na mambo ya hoteli niweke mizizi hapa. Una interest ya ishu gan mzee
Je Kama mtu anazungumza lugha za kimataifa Kama

English
German
N.k

Anaweza kupata fursa gani Zanzibar?.
 
...ungemwaga mboga, ungewachana hao wazungu kama mbwai na iwe.
Nahisi labda isingesaidia maana baada ya wale walioenda kuanza kufanya kazi ndipo niligundua ile kampuni ya wazungu inaamini sana ile kampuni ya kenya maana ilikuwa inafika target zao kiasi kwamba wakaipa tenda ya kusimamia South Africa, Ethiopia, Nigeria pia. Wana ndoa ya ushirikianon kama ya Kikatoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…