Kuna baadhi ya graduates wanaomba connection ukiwapa wanakuangusha

Je Kama mtu anazungumza lugha za kimataifa Kama

English
German
N.k

Anaweza kupata fursa gani Zanzibar?.
Tour guide inalipa sana au watu wa front desk safi kabisa. Mana zanzibar kuongea lugha zaidi ya moja ni mpango.. ila ikiwa zaidi ya kiingereza itafaa mana hata mm kiingereza naongea lakin fursa sio nyingi sana kwq lugha hii
 
Kwa sehemu yako ulifanya Jambo zuri.....

Ila kama hakuridhia hiyo ni juu yake... as long umeshamwonyesha njia basi hakuna wa kukulaumu.....

Naye usimlaumu ana maamuzi binafsi
 
watu wataongea ila lazima ujiangalie ww mwenyewe maana mda wa kuteseka utakuwa mwenyewe....
 
Huyu popote alipo nimemsonya 😂😂 kama ana mishe zake bora angekataa tu sa ndio nini hivi
 
Nikonnect na Mzungu
 
Huyo Dogo hayupo Normal
 
Usisahau mwendelezo
 
Acheni hizo, kama mnajuta mbona magari na Bodaboda zinaua watu Kila siku hamuachi kupanda? Agizo la kutenda hisani au kumsaidia sio la binadamu nila Muumba ( Mungu) Mwenyewe ukiacha pia hutafaidi Lolote, Cha muhimu Hawa Vijana tuwafanyie tuu vetting mana wazuri na wenye shida wako kama zamani.
 
Kabla mpa connection muulize ana mpango gani na familia maana ukute akili kawekeza kwa mishangazi atawaza nini kuhusu maishaya leo na baadae
 
Binafsi sijaona shida yoyote kwa huyo dogo.

Interview si ya upande mmoja, ni ya pande mbili.

Yeye naye amewafanyia interview kuona kama kampuni inamfaa, Ameona haimfai.

Mkuu, Kwani hapo ulipo ukipata nafasi lets say umoja wa mataifa ukafika na usiridhike na mkataba utasaini hivyo hivyo ili aliyekupa hiyo nafasi asione umemsumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…