Kuna baadhi ya graduates wanaomba connection ukiwapa wanakuangusha

Trueeee..

Jamaa atakua na ka demu kake so hawezi kuenda mbali ☺️😊😅😂😁
 
Sio wa kwanza huyo kukuangusha next time ulipie tangazo
 
kama hiyo nafasi bado ipo niunganishie mimi mkuu popote pale me naenga kufanya kazi hata pawe jangwani
 
Nigeie mmoyo connection kwa ajili ya mdogo wang.amemaliza chuo 2017 bachelor procurement and logistics management. Yupo home tu sasa hv hana dira
 
Nigeie mmoyo connection kwa ajili ya mdogo wang.amemaliza chuo 2017 bachelor procurement and logistics management. Yupo home tu sasa hv hana dira
Dah Toka 2017 mpka Leo ajapata inshu kwel maisha magumu
 
Kuna bi dada tulipiga kitabu wote alikuwa ananicheki daily nimtafutie kazi, siku jamaa yangu akaniambia ofisini kwao wanahitaji mtu . Nikamcheki na nikamuunganisha siku ya interview akatumiwa link ya online. Bwana we si akakacha akutokea kumbe anaogopa tangu siku hiyo nimeacha kuwaangaikia watu maana inakera sana
 
Dah Toka 2017 mpka Leo ajapata inshu kwel maisha magumu
Magumu hadi sio poa.ajira portal anaitwa kwenye written tu ila oral bila bila ndugu.kama uma connection kindly assist.
 
Huenda hayo mambo yake ni ya muhimu zaidi kuliko huo mkataba, na akiangalia anaona kabisa kuwa atapata zaid ya hiyo ya kwenye mkataba.
Ni ka boyfriend kake itakuwa amefikiria katamsaliti akienda kuishi mbali.

Na si ajabu hako la boyfriend ni bodaboda.
 
Kiherehere chako,kisa uneona ex
 
Ni ka boyfriend kake itakuwa amefikiria katamsaliti akienda kuishi mbali.

Na si ajabu hako la boyfriend ni bodaboda.
Mbona unampendelea kwa kumpa cheo kikubwa hivyo cha kuwa dereva wa boda, huyo boyfriend atakuwa muuza maji ya Kandoro stendi ya bus ama muuza karanga tu.
 
Mnajitafutia matatizo wenyewe, Mbongo ni mtu wa kumsaidia kweli jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…