A
Anonymous
Guest
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade nyingine nzuri kwenye matokeo yako. Bila ya hivyo basi unacarry somo, yaani ulipie kama inavyotakiwa 200k kwa somo.
Au kuna watu wanajua kabisa kwamba hata kama sitasoma naweza kupata grade fulani kwa kulipia tu. Sasa hiyo sio nzuri maana sisi wengine ambao hatuna huo uwezo wa kulipia hiyo pesa tunaona kama sio fair. Yaani mtu wewe unahangaika kusoma halafu unakuta wenzako wanasema kabisa kwamba, "Ngoja mi niende na hela yangu tu nikasafishe kwa Kabigi matokeo baadaye."
Na unakuta kama ukifanya kosa wakikuita ofisini, baada ya kuzungushana sana, sijui kama vile wanakusoma upepo wako, wanakuwambia kwamba wanaweza kukusaidia kama ukinipa kiasi fulani. Au unakuta kwa sababu wanafunzi wengi wanajua hii tabia, sasa unakuta na mwanafunzi anawazuga kuwaingiza kwenye maongezi na kuwaambia labda, "Naomba unisamehe unisaidie please, labda tunasaidianaje?" Yaani maneno kama hayo, mwisho wanakuambia, "Leta kiasi fulani kitume kwenye hii namba," na unakuta hiyo namba sio namba yake ili kuficha ushahidi. Na vile hata ukifeli, ukiwalipa hiyo 100k wanakusafishia.
Au kama kuna mtu anaitwa Omary, ni mfano halisi. Alikuwa darasa la mbele yetu, alitarajia awe ameshamaliza chuo now, ila alikamatwa na kibuti kwenye mtihani. Kweli lilikuwa ni kosa lake, ila Kabigi akamforce atafute 160k ili aweze kuendelea, na akishindwa kuipata basi. Ila Omary aliipata hiyo pesa na kuwalipa, ndipo wakamwambia wao watamsaidia ila watamhamishia Dodoma. Ndipo akapelekwa Dodoma kusoma eti kisa wanafunzi wasishtuke kwanini amerudi, wakati alikamatwa na kibomu kwenye mtihani na sheria inasema mwaka mmoja nyumbani.