hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Jamaa hata comments zake sipendi ku like anatukumbusha machungu.
Huyu mtu mkubwa huyu
Duh, huyu sijui wanapasuaje hizo mbao
Hii ndio user name inayonishangazaga sana 😅, very creative
Kichwa Kichafu , maharage ya ukweni dah🤣🤣Aisee kenge kaingiaje apo..
Enewei kuna jamaa anajiita Kichwa kichafu kweli ni kichafu kuna uzi anasimulia alivyombandua ndugu yake wa damu kila nikimfikiria simmalizagi...Mwingine Maharage ya Ukweni wengine ni Afisa uroda,Afisa ubashiri,Afisa usafirishaji
Nulitaka nimtaje mwamba mimiamadiwenani umeniwahi.mwana jina lake special ssna. Kama alikua anatongoza vile kwenye simu