Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Aisee kenge kaingiaje apo..
Enewei kuna jamaa anajiita Kichwa kichafu kweli ni kichafu kuna uzi anasimulia alivyombandua ndugu yake wa damu kila nikimfikiria simmalizagi.

Mwingine Maharage ya Ukweni wengine ni Afisa uroda,Afisa ubashiri,Afisa usafirishaji..apo bado kuna Chama wa njombe , Aziz Ki wa bonyokwa aafu kuna mwamba anajiita Babaake moderator
 
Aisee kenge kaingiaje apo..
Enewei kuna jamaa anajiita Kichwa kichafu kweli ni kichafu kuna uzi anasimulia alivyombandua ndugu yake wa damu kila nikimfikiria simmalizagi...Mwingine Maharage ya Ukweni wengine ni Afisa uroda,Afisa ubashiri,Afisa usafirishaji
Kichwa Kichafu , maharage ya ukweni dah🤣🤣
 
Back
Top Bottom