Kutokana na misimamo yake ya kibabe na kishamba ndio maana maiti zinaokotwa fukweni kwenye viroba, wapinzani wanapotezwa, wanaoshambuliwa kwa risasi huku kodi zetu zikitumika kama pesa yake binafsi. Nchi haijawahi kuwa na rais wa hovyo kama huyuWale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!
Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!
Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!
Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.
Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.
Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.
Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.
Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.
Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.
Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili
Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!
Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu,, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! 😀😀😀
Mkuu;Umefanya research kabla ya kuleta huu uzi ? kumbuka mimi sijui hayo usemayo kama ni kweli au uongo ila kuna kitu/vitu ulivyoweka vina makosa.., sasa kama umeweza kukosea hapo kwanini usikosee pengine..., hence umuhimu wa kuandika unachokielewa / una uhakika nacho no matter how minor.... Kiranga
Mkuu;
Unajaribu kuniondoa kwenye msingi wa mada yangu tuanze kujadili suala ambalo linahitimishwa na hisia zako.
Samahani siwezi kujadili hisia zako kwa sababu hisia unazijua mwenyewe!
Mkuu;Inatawaliwa na ccm, je ni kwa ridhaa ya wananchi wote?
Mbona kawatumbua na wakristu..acha lawama za kidini
Waislam wengine ni WAJINGA KILA SITU MNAHISI MNAONEWA
ASSAD KAMTUMBUA SIO KWASABABU NI MUISLAM
Mkuu;Mbona kawatumbua na wakristu..acha lawama za kidini
Waislam wengine ni WAJINGA KILA SITU MNAHISI MNAONEWA
ASSAD KAMTUMBUA SIO KWASABABU NI MUISLAM
Moja ingawa ni arguably kwamba anasimamia sheria pindi inapopitishwa..., ila mpaka sasa tuona anasimamia kila anachotaka hata kama ni kupindisha sheria...Mkuu;
Ndio maana nikakuomba uonyeshe vitu ambavyo nimeleta vina makosa!
Umeandika, ''Nchi haijawahi kuwa na Rais wa hovyo kama huyu''Kutokana na misimamo yake ya kibabe na kishamba ndio maana maiti zinaokotwa fukweni kwenye viroba, wapinzani wanapotezwa, wanaoshambuliwa kwa risasi huku kodi zetu zikitumika kama pesa yake binafsi. Nchi haijawahi kuwa na rais wa hovyo kama huyu
Mkuu;
Hakuna kiongozi wa kisiasa anayekuwa kwenye madaraka kwa ridhaa ya wananchi wote. Unatakiwa kwanza uelewe hii kanuni ambayo hata mwenye akili ya kawaida anaweza kuielewa!
Mkuu;Moja ingawa ni arguably kwamba anasimamia sheria pindi inapopitishwa..., ila mpaka sasa tuona anasimamia kila anachotaka hata kama ni kupindisha sheria...
Mbili ambayo ni minor.., kwamba wasikuma wana msimamo hence example mojawapo Kiranga...
Hodi hodi kutoka kwa Kiranga
Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo, Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi Shomvi na Sikudhani binti Muhamedi. Mara nilivyotoka pande za Msanga Kisiju nikaambiwa...www.jamiiforums.com
Sasa kama umepotoka hapo kwanini usipotoke pengine ?
Mkuu;
Mimi sikutaka hata kuingia kwenye hoja ya huyo unayemjibu kwa sababu nadhani lengo lake ni kutaka tuanze kujadili hoja ambazo anazijenga kwa hisia zake.
Hii inchi ina miongozo yake watu hawaelewi kuwa kuna siku atathibitiwa mpaka hawataamini.inchi ina misingi yake ambayo haiwezi kukiukwa.Atadhibitiwa tu!! Tunza hii comment kwenye faili la ubongo wako Tanzania ni zaidi ya uijuavyo Tanzania ni zaidi ya Magufuli.
Tulimpeleka Magufuli Ikulu ili apambane na ufisadi sio kukimbizana na wakina Mbowe matokeo yake anasamehe wezi na pesa wanazolipa hatujui zinaenda wapi amekuwa mpora nchi na mtu asiyefata haki za binadamu yeye ataondoka tu na Tanzania itabaki.
Muda ni mwl .mzuri atadhitiwa mpaka msiaminiMkuu;
Nadhani saver za Jamiiforums zitaitunza comment yako!
Ni kweli Tanzania ni zaidi ya niijuavyo lakini nikiangalia kalenda inasomeka ni miaka minne tangu aingie Ikulu kama Rais wa Tanzania!
Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!
Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!
Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku alipotoa hii hotuba walijua vizuri nini kitafuata na nini cha kufanya!
Ukitaka kuisikia na kuisoma hotuba, GONGA HII LINK>>Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa.
Baada ya Freeman Mbowe kutangaza oparesheni UKUTA mwezi Julai 2016, watu kama Edward Lowassa wanaomfahamu vizuri Rais Magufuli waliwashauri CHADEMA waachane na uamuzi huo.
Kuna baadhi ya watu kama Nape Nnauye walijaribu kumtingisha wakidhani atabadilika lakini baadaye wakashauriwa/wakajua habadilishi misimamo yake na wakaamua kufanya kile ambacho Waingereza kwenye methali hukisema, ‘’if you can’t beat them, join them’’.
Baadhi ya wale wanamfahamu vizuri Rais Magufuli ambao hawakubaliani na kile anachokifanya wameamua kujiunga naye au kukaa kimya kwa sababu wanajua hata wakipiga kelele hawawezi kumbadilisha katika misimamo yake.
Mwandishi mmoja wa Gazeti la Raia Mwema, Johnson Mbwambo aliwahi kuandika wakati wa Utawala wa Rais Kikwete, ‘’John Pombe Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wachache katika Serikali ya Kikwete wanaochapa kazi. Yeye sheria ikishapitishwa husimama kidete kuitekeleza hadi nukta ya mwisho hata kama athari zake ni kubwa! Tena ataisimamia kwa ukali na vitisho’’.
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.
Nakumbuka Zitto Kabwe aliwahi pia kugusia kuhusu msimamo wa Rais Magufuli na serikali yake wakati akichangia kwenye bajeti kuu mwezi Juni 2019 ambapo alisema;
"Kuna mradi wa reli, hela za ununuzi wa ndege kwenye bajeti ya pili na tatu fedha zimeongezeka, ukiendelea mtiririko kwenye bajeti ya kwanza mpaka ya nne tunayoijadili, utaona kwamba Serikali imetatua tatizo la KUTOKUWA NA MSIMAMO kwa hiyo hii ni chanya kwa Serikali''.
Zitto aliendelea kusema, "Pamoja na sisi wapinzani tumekuwa tukiwakosoa lakini hii chanya, kwamba mtu anaona acha ni feli, lakini ngoja nifanye ninachokiamini, hili ni tofauti sana na Serikali iliyopita".
LINK>>Zitto Kabwe aipongeza Serikali kwa hili
Misimamo ya Rais Magufuli(ubishi na kusimamia anachokiamini) haiwezi kuwashangaza wale ambao wanajua tabia za Wasukuma. Ni kweli Rais Magufuli siyo Msukuma lakini kwa sababu amekulia katika mazingira ya Wasukuma ndio maana amechukua moja ya tabia ya Wasukuma!
Kama ukitaka kujua tabia halisi za Wasukuma (ubishi na kusimamia wanachokiamini) basi jaribu kufanya majadiliano na Nyani Ngabu, Kiranga na Pascal Mayalla ambao ni wana Jamiiforums! 😀😀😀
Mkuu;
Kwani nchi nzima haitawaliwi na CCM?
Sijafika huko chini, lakini mstari huu umenishawishi nikatae yote uliyoandika.Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu waonapiga kelele za kisiasa wakidhani Rais Magufuli ataweza kubadilika! HAWEZI.
Wewe ni mpumbavu Makamu wake ni dini gani labda na Waziri Mkuu ni dini emu tuambie!! Usitake kuhusisha mambo ya Rais na udini kaa pembeni na fikiria kwanza.Ni kweli ana msimamo na chuki ya wazi dhidi ya wapinzani na waislamu. Baadhi ya misimamo yake ni kuhakikisha anaua vyama vya upinzani kwa kutumia madaraka yake. Pia kwenye utawala wake waisilamu wana nafasi finyu. Angalia msimamo wake dhidi Assad muisilamu muadilifu mwenye msimamo katika usimamizi wa fedha za umma. Ameamua kumtoa mbali ya uadilifu wake, ameona bora ampe mkristo mzembe kwani kwake uislamu ni nongwa hasa ukiwa na msimamo, na weledi katika kazi. Misimamo hii iko wazi dhidi ya wapinzani na waisilamu, je katika mazingira hayo tutegemee Tanzania salama? Muda utaamua.
Dhana potofu kabisa.Boss Ng'wamapalala Mh. Rais nae ni Binadamu kama wewe na mimi, Mh. Rais nae ana mapungufu kama wewe na mimi. Kuna maeneo Mh. Rais anaudhubutu sana, na kuna maeneo Mh. Rais kachemka.
Tatizo letu Watanzania na Wananchi ni Unafiki, Sasa hivi Mh. Rais kazungukwa na watu Wanafiki sana, kazi yao ni kupamba na kusifia tu. Ukishaona Mtu muda wote anakusifia tu, jua kuna jambo si bure.
Pamba na Sifia kwa kujenga HOJA, hata mtu akisoma anakubali.